Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Echolima,
Unafikiri kwanini PLO ilikuwa inapewa kiti kwenye OAU kipindi cha harakati za ukombozi?
Unafikiri kwanini PLO ilikuwa inapewa kiti kwenye OAU kipindi cha harakati za ukombozi?
Do you support Israel?
Msimamo wangu ni msimamo wa mwalimu Nyerere nasimama na wapalestina wanaokufa in thousands wanawake na watoto.
liangalie kwanza sura mbayaa imejaa laana israel ina hate christians more than you think km akili yako ni memory card basi ina kb1
Echolima,
Unafikiri kwanini PLO ilikuwa inapewa kiti kwenye OAU kipindi cha harakati za ukombozi?
well said mkuu: Hii ni dalili ya mtu kukosa hoja: anaamua kutukana. Na ndio maana hata wao Aman hawawezi kuwa nayo.Kwasababu wanapenda kulazimisha hoja na kufuta ukweli. Yeye kwake ameona neno MQ*ndu ni neno kali sana, hivyo akitaja tutapata wasiwasi.Na kukubaliana na hoja zake.Nadhani swali hilo limrudie yeye mwenyewe kwa hao anaowapenda na anashindwa kuwakosoa. Badala ya kuwasaidia wanyonge wachague njia sahihi anawadanganya waendelee kuuwawa.Waliokwisha kutumiwa mara nyingi hawana sera wamebakiza matusi tu na kejeli kwa wengine hata mimi sina uwezo wa kutoa matusi ingawaje nayajua huwezi kunichokoza NIKACHOKOZEKA sana sana naweza kukutumia tumbili wangu aje akusalimie tu, Mimi ninajiamini mimi si kama wewe Pole sana stay-away
PLO wakati huo ilikuwa terrorist organization. Isingestahili kiti. mtu yeyote anayemuunga mkono nyerere anatakiwa afahamu Nyrere alichagua njia ya Aman katika kutafuta UHUru na sio vita.Echolima,
Unafikiri kwanini PLO ilikuwa inapewa kiti kwenye OAU kipindi cha harakati za ukombozi?
sema na hii ni ya kutengeneza,
You need to grow up and read the relationship between Zahir and Mouhammad.kiziboo mkubwa wewe kubishana na wewe ni kupoteza muda na energy , hujui hata historia ya ethiopia jews au beta israel, unakalia eti ni wahamiaji haramu! wewe Echolima 2013 na Ishmael anaweza kuja jews akakutia kidole mkunduni ukabakia kusema amina, hutaona kosa! ukimpenda mke wako ujue pia na kumkosoa ! done talking to you
Mimi nawashangaa sana mnaposhabikia watu kwa historia zisizotuhusu
Udini sio mzur hata kidogo
Sisi wote ni binadamu
Hakuna aliyezaliwa akajua yeye ni mwislamu au mkristo au myahudi
Hiyo tumeadopt tu mtaani
So kwa nini tusifuate nature tu kwamba sote ni binadamu?
Tukianza Udini tutakuja ukabila na ubaguzi wa Rangi then tutakuwa tunafanya nini?
Kuna mstari mmoja katika kitabu cha babakama kutoka katika Talmud ya waisrael unasema "all Gentiles are non human animals"
So tukianza kubaguana manake unakubali kwamba wewe ni Kama mbuzi au nyani
Je ni kweli?
Tuangalie vizuri ushabiki wetu
Asanteni
Unaweza kutuletea huo mstari?Mimi nawashangaa sana mnaposhabikia watu kwa historia zisizotuhusu
Udini sio mzur hata kidogo
Sisi wote ni binadamu
Hakuna aliyezaliwa akajua yeye ni mwislamu au mkristo au myahudi
Hiyo tumeadopt tu mtaani
So kwa nini tusifuate nature tu kwamba sote ni binadamu?
Tukianza Udini tutakuja ukabila na ubaguzi wa Rangi then tutakuwa tunafanya nini?
Kuna mstari mmoja katika kitabu cha babakama kutoka katika Talmud ya waisrael unasema "all Gentiles are non human animals"
So tukianza kubaguana manake unakubali kwamba wewe ni Kama mbuzi au nyani
Je ni kweli?
Tuangalie vizuri ushabiki wetu
Asanteni
Unaweza kutuletea huo mstari?