sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Jibu PM basi...Halaf sweetlady kwa kujipaisha bana, last time si ulinambia nipige sim ya jirani yako wewe bado hauna sim?
Jibu PM basi...Halaf sweetlady kwa kujipaisha bana, last time si ulinambia nipige sim ya jirani yako wewe bado hauna sim?
Umeonae? Mie sifai kabisa mamkwe wako shahidi.kweli aisee. Una akili ndio maana ulifaulu chekechea.
sasa PM ya kwanza wewe unadai vocha unazani nitajibu? khaaaa!Jibu PM basi...
Khaaa!..sasa PM ya kwanza wewe unadai vocha unazani nitajibu? khaaaa!
usininyime wajameni, nilitania tu. Wewe ndo tegemeo langu la mwisho haka kahusninyo kamekuwa kashemeji sku hizi siwezi kukaomba chochoteKhaaa!..
Lol...umepinda walah tena...khaausininyime wajameni, nilitania tu. Wewe ndo tegemeo langu la mwisho haka kahusninyo kamekuwa kashemeji sku hizi siwezi kukaomba chochote
Mahakama gani ya usiku?Dah! inabidi nilog out kidogo naenda mahakamani, kuna mzembe kaiba tairi ya trekta naenda kumwekea zamana
Pole sweet naomba kuja kukupa company (funika haraka DA wala SL wala TF asione)
si ungemtumia pm???afu waafrica hatuwaambiii waume za watu ' i miss you'.....
Na haya majina ya bandia umejuaje kama PJ ni mwanaume, tena mme wa mtu?
Yaani khaa!
Uporoto atakuja leo? au nianze kukulinda?
mi mwenyewe nimeshindwa kuelewa apo!
Hahahaa..... hili ni sredi la kumisiana.... na mimi nammisi sana Keren_Happuch. Kuna mtu anaweza kumtundika mimba? Namhitaji huku Martenity ward.Sred imeshachakachuliwa, salama fellow tablet?
Hapana muzeiya........ mi ni mkulima wa Matikiti Maji na Matango maneo ya Boko-Bunju. Karibu kilimo kwanza.kumbe Ant-pain kwenu arachuga? Thalaam kwa anco Lema!
Hizi zali naona kama linaniangukia kimtindo..... huu upweke jamani khaa!napita sina raha leo mkinionea mzee mpweke mahali mnishtue
Bado niko busy kujua jinsia yake mkuu. Aisee salimia yule akaunta pale picnic bana........nimepoteza namba zake za simu.ODM vipi tena mkuu hutaki tupate wageni?
Ushajua jinsia yake? au wakaribisha tu? Stuka!Tunakusubiri sana, karibu.
Dah! Mkuu ushajua jinsia yake?Somebody has dialled my number and told me that someone somewhere somehow is missing me!
Tete a tete mwaya, nipo best, achana na wachakachuzi wa sredi yako. Unakaribishwa sn Arusha. Usije hata na shiing mia, kila ki2 kitakuwa taken care of huku2!
Vp ile namba tulopeana ilifia kwenye mchina nini, maana haupatikani nayo tena.!
Sounds lovely........Ni kweli kabisa maana sipendi kuusemea moyo ndetichia...I really miss PJ
Aisee!Usiwe na wasiwasi PJ wangu ile namba kweli mchina alifanya mambo ila usikonde wangu nitatakupm namba nyingine lakin umekuwa mno kimya do nini mimi tuu ndio nikumis wewe je? by the way watu hapa walivyonicharukia lol kumbe kweli nimeamini wivu ni kitu mbaya sana! Pj really I miss you....
Here we go! Concluded!!Tehe teh tehe kwa kwa kwa kwa Lol Lovely....you fulfill my day!!!