gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 292
hehe nimeona nimeshtuka sana aisee,sijui itakuwaje jamani
Umeona eeh.. Ndo hivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehe nimeona nimeshtuka sana aisee,sijui itakuwaje jamani
hehehe shooga namba yangu unayo hata kudipu?ankara anatakutafta huku.hata hujanimic acha uongo.
Kaby ndo nini kufanya watu tubandike mabango ya kukutafuta binti wewe?!
amy am lukin 4 u too, where hav u bin?
amy am lukin 4 u too, where hav u bin?
hahaha hako kamkono ndo kananisaidia kwenye biashara zangu
Kweli ulipotea. bishanga alikuwa anakulilia sana. karibu dada.
Umeona eeh.. Ndo hivyo!
Mwaya hapa am going through councelling from a broken marriage. Erick amebadilika nimeshamfumania mpaka nimesema sasa basi!
Hapa am filling for a divorce. Lol. Hayo ndo yaliyojiri mwaya hata kuku "dipu" nikashindwa.
Wellcome back....kabby wa ukweli!!! Uko salama lakini?
Zipi? Ungekuwa m baba wa kihaya ningekuelwa kwamba unatumia kamkono kwa ajili ya kazi flan,sasa wewe je?
Mmmmhhhh mbona unaniingiza choo cha kike? Unataka wenyewe wanitoboe macho?
Nahisi kama someone is missing me badly.
Nakuruhusu useme kama unanimisi.
Najua unajijua. Am waiting.
Kabakabana karibu tena jamvini, vipi ushajifungua au mimba iliharibika?
missed you too Kaby...welcome back!..
miss u love ...welcome yoo