I miss you all

I miss you all

thanks dear kwa kumkaribisha Kaby, ebu mkopeshe mtaji wake uongezeke


lol... basi mimi simkopeshi dear, sababu tu ni wa nyanya na ipo ndani ya uwezo wangu wacha tu nimpatie ili aweze himili haraka iwezekanavo!
 
zote mbaya tu.
Nimefilisika kila kitu kasoro kimawazo tu.
Pole sana...
Jana nilikuwa naongea na SL ila tukashindwa kukupata....
Kiukweli im happy you are back..
Hope hajajua kama umerudi:welcome:
 
Pole sana...
Jana nilikuwa naongea na SL ila tukashindwa kukupata....
Kiukweli im happy you are back..
Hope hajajua kama umerudi:welcome:

jamani nimemmisi huyo wifi yangu mbaya kabisa,khaa fb ts like home jamani.
 
Wadau wa JF Chit-Chat hamjambo!!!
 
Kweli ulipotea. bishanga alikuwa anakulilia sana. karibu dada.
 
Am very delighted to be back.,Mtaji wangu ulikufa na kibanda changu cha nyanya kilikumbwa na mafuriko moshi.
But all in all i missed you guys!

Hah! Nilikuwa nairuka thread... Kumbe ni Kabakabana... Karibu sana..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom