Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
- Thread starter
- #81
@Kabakabana
thanx dear,mr.pinokio mzima?
@Kabakabana
lol... basi mimi simkopeshi dear, sababu tu ni wa nyanya na ipo ndani ya uwezo wangu wacha tu nimpatie ili aweze himili haraka iwezekanavo!
thanx dear,mr.pinokio mzima?
@rejao gani ?Oooh!my Darling Rejao hajambo kbs,
Vp Shem waetu Uporoto hajambo?
Oooh!my Darling Rejao hajambo kbs,
Vp Shem waetu Uporoto hajambo?
@rejao gani ?
ni mume wangu sasa
I see Kabakabana inabidi tuongee vizuri .
nataka tuongeze mtaji kwenye Biashara
Niko nae hapa nampatia cha mchana!!!hivi yuko api?
Nilimkimbia nyumbani hatoi hela ya mboga na huku simuoni
Rejao gani?? maana nipo nae hapa ...huyo fake shosti
Khaaa! Poor ODM!i dont miss u.
Mimba yangu ndo kwanza wiki 3 jamani babu lol
Niko nae hapa nampatia cha mchana!!!
Hee,kwa hiyo ndio Ushamtosa shem wetu uporoto??
Khaaa! Poor ODM!
Hahah hahah,khaaa eti kapewa ridandasi me wa kazi gani? Akishapata kazi ndo ntamrudia
Anytime.... Si unajua situmii petroli wala umeme wa mgao?usije ukalia buree,nilikumiss saana mpaka nilikonda babu!ukaguzi lini?
Hahah hahah,
Wewe kweli noma dah!
Anytime.... Si unajua situmii petroli wala umeme wa mgao?