I miss you all

I miss you all

Wow! Kabakabana.Fantastic to see you again. Kusema kweli mimi ndiye nilianzisha thread ya kukutafuta maana JF ilianza kukosa mvuto kwangu ulipokosekana. Pole kwa yote yaliyokupata na karibu tena. Thread hiyo iko hapahapa chit chat inaitwa 'Kabakabana uko wapi? Kama haipo page 1 itakuwa pg 2.

thanx dear wangu jamani,am so humbled kuona kuwa nakumbukwa hivi
 
Babu Anakaa kwa mtogole ..harafu Kabakabana ukipotea na Babu anapotea Ukirudi na yeye Asprin anarudi
Mlikuwa wapi?

babu alikuwa anaendeleza ukaguzi,hachoki kunikagua jamani.wewe alikukagua mara ngapi?
 
Last edited by a moderator:
am in dia...
Tarehe hizi ni mbaya kumbuka, angalia usipate :mimba::mimba:
Jaman mme wangu,ikishaingia mimba moja haiwezi kuingia nyingine mpaka nijifungue,
Dont worry my dia itabaki hii hii iliyopo mpaka nikijifungua so just enjoy tha game darling!!!
 
Jaman mme wangu,ikishaingia mimba moja haiwezi kuingia nyingine mpaka nijifungue,
Dont worry my dia itabaki hii hii iliyopo mpaka nikijifungua so just enjoy tha game darling!!!

makubwa tena haya
 
khaa babu una maneno,unaishi mbagala nini?

Babu Anakaa kwa mtogole ..harafu Kabakabana ukipotea na Babu anapotea Ukirudi na yeye Asprin anarudi
Mlikuwa wapi?

babu alikuwa anaendeleza ukaguzi,hachoki kunikagua jamani.wewe alikukagua mara ngapi?

Wala hakukagua alinambia nimechoka eti yaani huyu babu ana mabalaa tupu

hahaha chezea ODM weewe?ana vibweka vya kila aina
Gossiping behind babu's back?:gossip::majani7:
 
na mmenipandisha mzuka kweli,na hiki kibaridi nilivo mwenyewe hapa dah
Kila siku nikiangaliaga avatar yako naikosea jibu....
inahamasisha sana!! sijui huu mkono unaelekea wapi huko!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom