Mabadiliko ya maisha yanaendana na mabadiliko ya binadamu that time ulikuwa mwanafunzi ukilelewa na wazazi na waalimu ila life after school na ukishapata nyumba yako unatakiwa kutoa wewe malezi na kiasi kidogo sana kupokea kwa wenzio, ni wazi lazima ubadilike na tena ukiona binadamu ambaye yupo stagnant ujue kuna tatizo hata la mfumo wake kimaisha,
Jamani nikasi nitakupa vuvuzela mwaka huu
Moyo ni ule ule jamani, nifanyeje sasa?
Leo kwa muda; nilijikuta nimmiss Konnie wa miaka kadhaa. Ilikuwa hivi . . .
Katika pilika pilika za leo, nikakutana na mtu tulipotezana more than 17 tulipomaliza High School.
Na tulikuwa tunakaa meza moja miaka hiyo, na tulikuwa marafiki, tatizo enzi hizo S.L.P ilihusu sana, tukapotezana.
Baada ya kupiga story 2 tatu nikagundua 'how much i have changed' toka tulipoachana. Miaka hiyo nilikuwa 'pure innocent girl from a village'. Nikaona anajaribu kuwaunganisha mie wa miaka hiyo na wa sasa ambaye ni 'crazy' kwa namna fulani. Ambaye ukimuonesha zambarau lazima ahoji, why?
Nikimtazama yeye angalau ame-maintain 'innocence' yake, for a minute i missed my old self.
Kukawa na vitu nataka 'ku-explain' sababu nilihisi anastahili maelezo, akanijibu tu 'i understand, it's part of life'.
Dah, nimegundua kumbe mtu unaweza kubadilika kidogo kidogo bila kujua, leo ndio nimejitafakari nimebadilika kiasi gani.
Anyway, it's life.
wewe Nicas Mtei achana kabisa na mapenzi...
yaani ukiwa teja unasahau kabisa miaka yako.....
kuna mateja nayajua ni kama ma-teen....... siwashangai sababu na mimi yamenikuta, lol!
achana kabisa na uteja.... na kama hujaingia nakusihi sana usiingie huko ingawa ambao tumeshakuwa addicted hatutaki kabisa kusikia habari za rehab, lol!
cc. snowhite, BAK
Kongosho...same here i miss the old me. Kuna picture nikizionaga huwa zinanikumbusha mengi sana......ingawa nimebadilika lakini ule uoga na heshima bado ninavyo kidogo na ndio vinanisaidia katika maisha yangu ya hapa mjini.Of course Mungu ndio namba moja kwa kila kitu.
Nicas Mtei
i beg your pardon please!!!!!!!!
Huko ni kukimbia kivuli chako mwenyewe
Am very angry at her
Siku akija atanikoma
Ushaanza.....
Si umesema umemiss "old u"???
Hebu kuwa "old u" kidogo basi japo kwa kwaresma hii tu.... Tufunge na sala juu tumuombee arudi....
Jamani Bina is that too much to ask??
hatudaiani konnie ,hata kidogo!na walahi kwa hili nafunga huu mlaptop wangu nilale mie!
nyie mtu pipo mlioalala sa hz!
mtakapoamka naomba nisiulizwe swali wala nisiombwe maelezo hiyo bold yenye red hapo ni kwa matumizi yangu binausi!
cc BADILI TABIA Dark City (konnie babu leo nilimbananisha maeneo unikumbushe asubuhi nikuhadithie) watu8 mwaJ jouneGwalu (af na wewe we jificheeeeee siku unaibuka watu tushapiga kipunga ) Nicas Mtei Ruttashobolwa hebu mwambie mama koooku aandae nshisha ,kina zombie wanapata mgore muda simrefu hapa!
Mtawa kabisa, very mnyenyekevu
Okay, ngoje niendelee kuwa new me
Nilitaka kuwa 'old me' tena
Ngoja tumwombee arudi
Jamani nikasi nitakupa vuvuzela mwaka huu
Moyo ni ule ule jamani, nifanyeje sasa?
Am very angry at her
Siku akija atanikoma