logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,553
wanawake acha tu tunyanyaswe...
acha tu....
yani unataka kupasha nae kiporo?
unataka uonje biringanya kwa mara ua mwisho...eti kuagana.....serious?
Waacheni wajitafutie faraja za kijingaHuyu mleta mada anaonekana ni msomi ambae hitumii vizuri elimu yake. Sasa anaomba re-match na x wake hadharani wakati ana mtu mwingine yupo humu humu na atajua tu mtu wake ana nyenyere wanamsumbua sana kule kunako. Kibaya zaidi kashajisema yeye ni yule ambae anapanga kuolewa na Mbotswana aliepata mchumba humu JF. Sasa hizo ni akili? Akitoswa na huyo jamaa atajiona ana mikosi? Au misifa ya kutaka kutangaza anaolewa na foreigner? Hajitambui huyu mtu.
Those were the days Dadaake.I MISS OUR DAYS!
basi tu!
Oh yes. CrapThis is a crap!![]()
Which days are you talking aboutI MISS OUR DAYS!
basi tu!
acheni kujifanya wakongwe wa jf wote nyie wadogo zangu humu dadeq au mnataka niweke wazi id ya zamani??? Sema I don't wana get bannedMbotwasana huyo kafa kaoza kwangu hata akiona najua jinsi ya kumtuliza istoshe I doubt kama ataona si mtumiaji mzuri wa jf
Sent from Samsung A8 using Jamii Forums mobile app
Ukichunguza kwa ukaribu siku za hivi karibuni thread za kulilia wanaume zimeongezeka sana,hiyo ni dalili mbaya kwamba tu wapweke mioyoni
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo malaya unaewaza kuwa mapenzi lazima yahusiane na hela mfyuuu wenzako hatuko hivyo sijawahi hata kuhongwa na mwananaume toka nizaliwe na hata awe na hela vipi siwezi kumuomba nikimuomba ujue namkopa mwisho wa mwezi namrudishia.Ni njaa tu sio kingine, hakuna hela umalaya uliojificha sasa inakuwa wazi...
