I miss my ex man so much jamani

I miss my ex man so much jamani

Sawa lakini hiyo ya ku disclose kuwa mwezi march 2018 atafunga ndoa na m Botswana haoni ambaye naye ni member wa JF haoni kwamba jamaa akisoma thread yake atamstukia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake acha tu tunyanyaswe...
acha tu....
yani unataka kupasha nae kiporo?
unataka uonje biringanya kwa mara ua mwisho...eti kuagana.....serious?
Alielala na bi harusi,siku moja kabla ya harusi,bado mnanishauri harusi
 
Kama upo makini huwezi kumkumbuka X wako ,nafikiri bado unaota utamu wa penzi na kufikishwa kileleni Mkuu
 
Ukisoma maelezo yako tu kwa harakaharaka unagundua kwanini uliachika.
 
Hawa ndio wanawake wa kiafrica hawajui kumove on namwonea huruma sana hyo mbots huyu akikutana na huyo X wake lazima atoe unyevu tu sijutii maamuzi yang ya kuwadharau wanawake wa JF kwa kuligeuza jukwaa la chitchat na MMU kama tawi la badoo
Hahah eti tawi la badoo,umetisha mkuu.
 
Ina maana huyo uliyenaye hajakufikisha kileleni??
 
Ndio nilikumwaga na yale matusi yako na kashafa ulizotoa baada ya kuachana nazikumbuka na sikurudii ng'o, hujatulia mpenzi kicheche

Heshima pesa
 
Jiheshimu asee,usije kuniharibia ndoa yangu.We si nlitaka kukuoa ukazingua,leo unajifanya una nimiss.Kwendraaaa uko
 
Hahahahah, doh humu ukiwa na stress ukiingia zinaisha,yaani wewe binti ni kiboko nimependa ulivyofunguka,
Hivi lakini siku hizi kwanini mod hawaziunganishi multiples IDs tufaidi vizuri.
 
To my x love
Nakupenda sana E the most handsome man in the world even if hunipendi tena but mimi bado uko moyoni mwangu

Only God knows how much I miss my x sweetheart, E nimekumiss sana just send me even a message to say Hi!

I loved you so much. You were the second man in my love life but you were the first man to show me how love tastes.
Mwanaume wa kwanza kabisa kunifikisha kileleni na hajawahi mwingine na sijui kama atatokea tena wa kunifikisha huko. Wewe ndie mwanaume uliyenifundisha nini maana ya mapenzi & for that I will never ever forget you.

My x love you always come in my dreams at night. I dream kissing you, I dream the way we used to hug on bed till we fall asleep, I dream of your hands caressing my back gently, I dream of your priceless smile.....

You were so kind my love I remember how you stood by my side during the difficult moments I went through. There was a time I wanted to kill myself but your sweet words kept me moving on May be now I could be 6 feet down on earth.

Sweetheart when I met you I was more than mshamba but thanks to you you introduced me to the world of wajanja hahahaa you used to say 'abunuasi' For the first time you I went to mwanza by plane and stayed in that classic Mwanza hotel for 3 days thanks so much honey that meant a lot to me.

Honey I know kuna mambo nilikuudhi mengi sana naomba nisamehe kuna vitu nilisema maybe hukutegemea kama ningesema nisamehe mpenzi x.

Last but not least I want to tell you that I am getting married to a Botswanian yeye pia nimempata humuhumu JF kama nilivyokupata wewe my wedding shall be next year March by the grace of God.
X sweetheart I have not done sex with him yet till he gives out the bride price pls dear x if you happen to see this thread this is what I ask from you:

let me taste your delicious lips for the last time
let me hug you for the last time
let me have that thing in me for the last time I felt it so much honey
let me see your smile and hear your voice for the last time

If you were not married dear x ningekuwa na nguvu hata ya kukupigia simu or to text you but with your situation I can't do anything coz they say what God brought together no man can separate. I respect your marriage & I will not want to be the cause of trouble again to hurt your wife again.

I love you so much and you are always in my prayers.

To my irreplaceable

From your x girl.

NB:
Najua muhusika akiona atajijua tu akikumbuka safari ya Mwanza na Mwanza hotel
Toa uzinzi wako hapa,umeshindwa kuficha umalaya wako umeamua kutuwekea nasisi hapa??au ndio biashara matangazo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom