I miss my ex man so much jamani

I miss my ex man so much jamani

Hizi drama tu, hata ctoi povu langu .... hakuna mwolewaji hapa ila changamsha kijiwe. Yan mtoa mahari yupo humuhumu, na ex yupo humuhumu halafu unaomba kupigwa dushe kwa mara ya mwsho nae anaona....hahahaa JF bhana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo uongo. Ni malaya tu na mawakala wa shetani wanajatibu kuwaadaa wajinga na kueneza uovu. Yani mme mtarajiwa ni member wa jf, na x-bf ni member alafu unaandika upuuzi kama huu mbele za Mme wako!? Hii siwezi kuiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom