I miss my ex man so much jamani

I miss my ex man so much jamani

Me Huwa Naonaga Wanawake Sio Binadam Halisi, Cwatofautish Na Majini/mashetan Kwa Unafiki. Ndo Maana Kuna Usemi Usemao "Mwanamke Hana Dini". Niliwah Ambiwa Na Mjomba, Ucje Ukamnyima Lift Mwanaume Ukampa Mwanamke. Ukpata Matatzo Njian Hatoshuka Ndan Ya Gar Na Akishuka Atasimamisha Lingine Na Kukuacha Hapo. I Know Them, Kwangu Ni Km Vyombo Vya Kutumia Tu, Nikiona Anasumbua Huwa Nabadilisha Tu Nakutafuta Kingine Na Sijawah Kuwasamehe Ila Tunapo Anza Mahusiano Tunakula Nae Kiapo Ili Ikimfka Safar Ajilaumu Mwenyewe.
 
HALAFU UMEANDIKA PROUDLY MRS SAM!

ahahahahhahaa THE MORE UNAJARIBU KUJIFANYA UKO OKEY NA SAM THE MORE MJINGA MOYO WAKO UNAKUONA!
 
humu humu JF !
UMEPATA X NA Y!
ehehehhehehehhehehhehhehehe yani mambo mengine huwaga mnazinguaaaa!
 
Me Huwa Naonaga Wanawake Sio Binadam Halisi, Cwatofautish Na Majini/mashetan Kwa Unafiki. Ndo Maana Kuna Usemi Usemao "Mwanamke Hana Dini". Niliwah Ambiwa Na Mjomba, Ucje Ukamnyima Lift Mwanaume Ukampa Mwanamke. Ukpata Matatzo Njian Hatoshuka Ndan Ya Gar Na Akishuka Atasimamisha Lingine Na Kukuacha Hapo. I Know Them, Kwangu Ni Km Vyombo Vya Kutumia Tu, Nikiona Anasumbua Huwa Nabadilisha Tu Nakutafuta Kingine Na Sijawah Kuwasamehe Ila Tunapo Anza Mahusiano Tunakula Nae Kiapo Ili Ikimfka Safar Ajilaumu Mwenyewe.

baadhi yao wapo hvyo unavyofikiria sio wote! mie huez ukaniambia wanaume wote ni shida!hapana kuna wanaume wazuri sana sana hata humu wapo!.......sio wote kwakweli ni ni %ndgo
 
aiseee mbotswana hapewi punye hadi mahari kwanza, ila jamaa anaombwa akaichakaze bureeee

haya mambo nilisha shindwa mwezi ujatoa punye, kafie mbele....yaani kwangu usitoe mpaka harusi alafu kuna jamaaa anaombwa akaipige duuuh
Hahahaha, this life is not fair at all
 
Ivi ndio wewe ulokua unaalika harusi na na unaekuja kutolewa mahari mwisho wa mwezi huu? au umejisahau kama mtarajiwa wa wawatu? na hiyo Mada ume copy huko ukatumwagia humu mbona hujielewi nini unataka?
 
Ahahahaaaa....waume tuliokwisha oa hatujawahi kuwaacha salama mabinti waliomaliza chuo...sio kwa kuwakojoza huko mpaka waje kutuomba farewel encounter....naamini ukiwa ndani ya ndoa yako usipokojozwa lazima ututafute waume za dada zenu tuwakojoze.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
I see wanawake wa JF tumepatwa na ukichaa wa upweke,Eeh M/Mungu tusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mleta mada anaonekana ni msomi ambae hitumii vizuri elimu yake. Sasa anaomba re-match na x wake hadharani wakati ana mtu mwingine yupo humu humu na atajua tu mtu wake ana nyenyere wanamsumbua sana kule kunako. Kibaya zaidi kashajisema yeye ni yule ambae anapanga kuolewa na Mbotswana aliepata mchumba humu JF. Sasa hizo ni akili? Akitoswa na huyo jamaa atajiona ana mikosi? Au misifa ya kutaka kutangaza anaolewa na foreigner? Hajitambui huyu mtu.
 
Hawa ndio wanawake wa kiafrica hawajui kumove on namwonea huruma sana hyo mbots huyu akikutana na huyo X wake lazima atoe unyevu tu sijutii maamuzi yang ya kuwadharau wanawake wa JF
Mkuu hao wa namna hiyo wapo wengi hadi huko mitaani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom