klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
hahaaaaa aisee usikate tamaa, ziba pancha, weka pedeli za tairi genero, mtokee tena...uendage na zawadi nawee, sio mikono tupu tu...ebo!!
Mi sijambo aisee naona na ww umesalimika

mara hii lazma nikienda niazime raba la invizibo! stay tuned
hahaa uliambiwa uonyeshe credit card nini
unakusudia kusema invizibo ana miguu kibamia?

Zitakutosha? Utafika miguu imevimba!

uschekecheke tu! mwambie kama mimi ndio ninaekuweka mjini!

lazma nikuchumbie kwa pete la shaba!

haya waswahili rogeni basi
Lol...angalau kloro akienda ukweni basi awe na tuktuku sio basikeli (labda kama wakwe wako bariadi...lol)
khaaaa! Hebu futa hyo kauli kabla kloro hajavimba bichwa nikaingia gharama ya kumpeleka india.

Wala sio tabia mbaya...a perfect match...

bariadi kuna malimozini seuze vituktuk? acha bana...

khaaaa! Hebu futa hyo kauli kabla kloro hajavimba bichwa nikaingia gharama ya kumpeleka india.
khaaaa! Hebu futa hyo kauli kabla kloro hajavimba bichwa nikaingia gharama ya kumpeleka india.

Usijali kichwa kloro na hivo ni kiduchu, kikivimba kitakua size wala humpeleki india
Hahahah...'Kitochi muhimuMentor mbona kama dasilamu inakuchanganya bro?Embu njoo nyumbani upate wari wa asili kidogo!!

Will miss you though...much love!
Dears,
Guests,
Members,
Junior Members,
Senior Members,
Senior Expert Members,
Premium Members,
Moderators,
Super Moderators,
Robots.
I LOVE YOU ALL.
Cheerio...
I love you too mwaaaaaaaaaaaaaaa.