Derimito hamna maneno naweza ongea yakakutoa katika majonzi uliopo...
Pole saana na matatizo yalokukuta na Nakumbea Mwenyezi Mungu akupe
moyo wa amani na kukubali... na pia kukutia nguvu kuweza shinda majonzi...
Sijui ni dini gani but sie Waislamu hua tunaombea marehemu walotutangulia
kwa kuwatilia ubani.... Na naamini pia Christians wana taratibu zao... Hivo walau
ni muhimu ukamfanyia hivo....
Nakutakia Safari njema na Mungu akuwekee wepesi ktk safari yako.
My Dearest sister where was you hiding......................i was about to board a bus to Dar and see for myself what is happening 2 u.......
Wapendwa marafiki zangu Nimempoteza kaka yangu mpendwa aliyefariki jana Hospital ya RC.Tunduma mbaye ni wa pekee kwenye familia yetu David Mwampashi najiandaa kuondoka kesho asubuhi kwenda Mbozi Mbeya kwa ajili ya mazishi siku ya Ijumaa.
NB: Nawashukuru kwa marafiki wate ambao wamenipigia simu tuliongea nao na wale ambao wameshindwa kunipata hewani kutokana na simu yangu kuwa busy nawaomba radhi na ninathamini sana faraja zenu najivunia kuwa na marafiki wa JF ni zaidi ya ndugu maana wamekuwa karibu sana.