I hate this word ''BABY'' ktk mapenzi.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,004
Points
2,000

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,004 2,000
Yani unakuta kasichana kadogo kanaliita zee zima tena mbele ya kadamnasi eti my Baby,zee nalo lnakua comfortable kabisa..
 

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Messages
12,746
Points
1,500

Mbu

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2007
12,746 1,500
...am comfortable with it, soulmate wangu analitumia sana hili tena na sauti yake ilivyo tamu, raha kweli!
kutafsiri neno kwa neno hakuleti maana ya sentesi..

"being called a monkey doesnt make you a monkey!"
 

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
10,312
Points
2,000

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
10,312 2,000
Jamani sasa ulitaka amuita ATM? Hamna kitu napenda na na appreciate kama to be called using sweet names like "baby'; "sweety" "mpenzi", "honey". Na mimi natumia sana haya maneno tena kwa mwendo wa kubadili badili maana ukitumia neno moja tuuuu kila siku inakuwa hakuna uzito ni kama ku replace jina na nick name. Tatizo ni kuwa hata wanangu nao wanatumia hayo maneno kwani hawajawa na akili wanajua ndio majina yetu.
 

Forum statistics

Threads 1,366,958
Members 521,602
Posts 33,382,191
Top