Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,950
- 711
Hata kama ni utanda wazi kweli kaamua kuonyesha uwazi.
Kwa hiyo ni sawa tu, hata kwenda uchi wa mnyama, kwa kuwa tu huyo mwenda uchi si kutoka kwenye familia yako...!?Mimi kwa kweli msimamo wangu ni tofauti kabisa na watu wengi.. Ya nini unamhukumu mtu kwa mavazi tu? Kwani akivaa hivyo amekuadhiri vp? Mtu akifanya ujinga au la maana hiyo ni yeye sio mimi, kama kitu sikipendi basi sikifanyi, na nikimwona mtu anakifanya namwacha kwa kuwa yeye ni yeye na mimi ni mimi. Ww una lako jambo. LIVE URE LIFE.

Mimi kwa kweli msimamo wangu ni tofauti kabisa na watu wengi.. Ya nini unamhukumu mtu kwa mavazi tu? Kwani akivaa hivyo amekuadhiri vp? Mtu akifanya ujinga au la maana hiyo ni yeye sio mimi, kama kitu sikipendi basi sikifanyi, na nikimwona mtu anakifanya namwacha kwa kuwa yeye ni yeye na mimi ni mimi. Ww una lako jambo. LIVE URE LIFE.

Jamani dada zetu,

Kama huku ndo kwenda na wakati basi mnatutia aibu. Hebu angalia hii picha hata chupi hajavaa, ndo uvaaji gani huo?

Kwa sababu si Mama, wala dada yako basi ni sawa tu.Kila mtu na Maisha yake.
Kwa jicho lako unamuona kavaa vibaya ila kwa macho ya watu wengine amependeza
If she aint ur mother, sister or wife then Mind Ur Own Business.
Jamani dada zetu,
Kama huku ndo kwenda na wakati basi mnatutia aibu. Hebu angalia hii picha hata chupi hajavaa, ndo uvaaji gani huo?
View attachment 36540
Mimi kwa kweli msimamo wangu ni tofauti kabisa na watu wengi.. Ya nini unamhukumu mtu kwa mavazi tu? Kwani akivaa hivyo amekuadhiri vp? Mtu akifanya ujinga au la maana hiyo ni yeye sio mimi, kama kitu sikipendi basi sikifanyi, na nikimwona mtu anakifanya namwacha kwa kuwa yeye ni yeye na mimi ni mimi. Ww una lako jambo. LIVE URE LIFE.

Mkuu umejuaje kuwa chupi hajavaa?
Jamani dada zetu,
Kama huku ndo kwenda na wakati basi mnatutia aibu. Hebu angalia hii picha hata chupi hajavaa, ndo uvaaji gani huo?
View attachment 36540
sawa tunaomba ubandike nyingine tuone manyonyo vizuri..