I guess huku ndo kwenda na wakati.

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,944
703
Jamani dada zetu,
Kama huku ndo kwenda na wakati basi mnatutia aibu. Hebu angalia hii picha hata chupi hajavaa, ndo uvaaji gani huo?

attachment.php

DSC00310.JPG

Mimi kwa kweli msimamo wangu ni tofauti kabisa na watu wengi.. Ya nini unamhukumu mtu kwa mavazi tu? Kwani akivaa hivyo amekuadhiri vp? Mtu akifanya ujinga au la maana hiyo ni yeye sio mimi, kama kitu sikipendi basi sikifanyi, na nikimwona mtu anakifanya namwacha kwa kuwa yeye ni yeye na mimi ni mimi. Ww una lako jambo. LIVE URE LIFE.

Kwa hiyo ni sawa tu, hata kwenda uchi wa mnyama, kwa kuwa tu huyo mwenda uchi si kutoka kwenye familia yako...!?

Tatizo linakuja watoto wakiona uhathirika kisaikolojia nao wataona ni jambo la kawaida na kutaka kuiga maadili ambayo sio mazuri.

Mimi kwa kweli msimamo wangu ni tofauti kabisa na watu wengi.. Ya nini unamhukumu mtu kwa mavazi tu? Kwani akivaa hivyo amekuadhiri vp? Mtu akifanya ujinga au la maana hiyo ni yeye sio mimi, kama kitu sikipendi basi sikifanyi, na nikimwona mtu anakifanya namwacha kwa kuwa yeye ni yeye na mimi ni mimi. Ww una lako jambo. LIVE URE LIFE.

Ukiishi na jamii iliyostaarabika mtu kama wewe unalimwa risasi tu na mzoga unatupwa shimoni. Unawezaje kuruhusu mwanamke atembee mitaani akiwa hivyo huku njiani akikutana na watoto wadogo!! Nakuonea huruma kwa mtizamo huo finyu na wa kilimbukeni.

Kila mtu na Maisha yake.

Kwa jicho lako unamuona kavaa vibaya ila kwa macho ya watu wengine amependeza

If she aint ur mother, sister or wife then Mind Ur Own Business.

jaman!!! mi sioni shida ya picha apo juu inategemea vazi kalivaa wapi na wakati gan!

Jamani dada zetu,

Kama huku ndo kwenda na wakati basi mnatutia aibu. Hebu angalia hii picha hata chupi hajavaa, ndo uvaaji gani huo?

napita tu ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe..

Kila mtu na Maisha yake.

Kwa jicho lako unamuona kavaa vibaya ila kwa macho ya watu wengine amependeza

If she aint ur mother, sister or wife then Mind Ur Own Business.
Kwa sababu si Mama, wala dada yako basi ni sawa tu.

Mimi kwa kweli msimamo wangu ni tofauti kabisa na watu wengi.. Ya nini unamhukumu mtu kwa mavazi tu? Kwani akivaa hivyo amekuadhiri vp? Mtu akifanya ujinga au la maana hiyo ni yeye sio mimi, kama kitu sikipendi basi sikifanyi, na nikimwona mtu anakifanya namwacha kwa kuwa yeye ni yeye na mimi ni mimi. Ww una lako jambo. LIVE URE LIFE.

Kama hali ndo hii, sitoshangaa ukimshawishi dada yako ama mdogo wako wa kike atembee uchi maadam si wewe.

Kama huwezi kuona ama kujua athari za mavazi, basi una tatizo kubwa kuliko tunavyoweza kukudhania.

Mavazi ya mtu yanabeba maana kubwa sana na nzito sana kuliko wewe unavyotaka kuirahisisha.

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom