Maadili yanayozungumzwa kuwa yamepotoka ndio kama mifano hiyo , mwelevu husubili kuambiwa, hwa ndugu wana kaka, dada , baba , mama na hata watoto, sijui hapo taifa wanalipeleka wapi mimi nadhani, watu wamekuwa wagonjwa wa akili bila kujitambua jumuia inaombwa ikemee tabia hizi, zisiachiwe kuendelea, huko sio kustaarabika, ni kuwa baaradhuli. watu wakemee popote mambo haya yanapoonekana (wazo la shetani ni mtu mwenyewe kutenda kinyume na taratibu za walio wengi-- huo sio ustaarabu hata kidogo watu kukaa uchi.ni ushetwani)