Je, ni wakati gani sheria inamlazimu refa kwenda VAR?

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,239
4,061
Pamoja na yote, Manula sio KIPA ila ni the most loved one , sijajua ni kwanini. Jamaa huwa haoni movement za mpira sio kama DIARA. Mmmh kweli Uchawi upo.

Hoja ya msingi, je ni wakati gani REFA analazimika kwenda kuangalia Var?

Je, malalamiko ya wachezaji sio kigezo cha yeye kufanya hivo?

Haya magoli yote yametoka kwa wachezaji wa SIMBA SC , ni aibu na hasara
 
Nyie Yanga ndio mnawaroga halafu mnalalamika. Hao wa kwenu wamefanya nini?
 
Pamoja na yote, Manula sio KIPA ila ni the most loved one , sijajua ni kwanini. Jamaa huwa haoni movement za mpira sio kama DIARA. Mmmh kweli Uchawi upo.

Hoja ya msingi, je ni wakati gani REFA analazimika kwenda kuangalia Var?

Je, malalamiko ya wachezaji sio kigezo cha yeye kufanya hivo?

Haya magoli yote yametoka kwa wachezaji wa SIMBA SC , ni aibu na hasara
Kwa hiyo nani angedaka leo?
 
Wakati akiwa na mashaka na maamuzi yake na hajaona tukio vizuri, ila akiwa ameona tukio vizuri anatakiwa atoe maamuzi na siyo kusikiliza kelele za wachezaji maana wachezaji hawaachi kulalamika
 
Wakati akiwa na mashaka na maamuzi yake na hajaona tukio vizuri, ila akiwa ameona tukio vizuri annatakiawa atoe maamuzi

Thank you

Mbona wachezaji wamemuomba sana kutumia Var na kagoma
 
Refa anakwenda kwenye VAR pale tu tukio limeshindwa kuamliwa na control room ya VAR!. Ndipo refa anaambiwa aende akajilizishe na refa hawezi kulazimishwa na wachezaji!!.
 
Mnaleta usimba na uyanga wenu tena mje mlete na siasa .. hap mnatuvunja moyo tunashindwa kuisapot Stars
 
Mpaka sasa technology ya ukweli ni goal line. Var bado ina upuuzi. Nilifikiri var inatumika kuangalia matukio yote yenye utata lakini kumbe sio.
 
Refa anakwenda kwenye VAR pale tu tukio limeshindwa kuamliwa na control room ya VAR!. Ndipo refa anaambiwa aende akajilizishe na refa hawezi kulazimishwa na wachezaji!!.

Duh
 
Mpaka sasa technology ya ukweli ni goal line. Var bado ina upuuzi. Nilifikiri var inatumika kuangalia matukio yote yenye utata lakini kumbe sio.

Hata mm nimeshangaa sana

Inawezekana refa kaichukulia poa TZ
 
Inatumika mchezaji akipewa kadi nyekundu moja kwa moja itakayolalamikiwa au kuonekana ni ya kionevu. Ila kwenye kadi ya njano huwa ni maamuzi ya refa hayaingiliwi na VAR iwe ya uonevu au ukweli
 
Kaasababu alikua na uhakika na maamuzi yake
Refa wa kati kuwa na uhakika sidhani kama ni sababu ya var kutotumika mfano refa wa kati anaweza kuamua ni penati au sio penati lakini var wakiona kuna utata watamwambia akahakikishe kama ni penati kweli au sio penati kweli. Chakujiuliza kwa nini matukio mengine ambayo yanaonekana yana utata var hawamwambii refa wa kati?
 
e4c328a698ac41219ed4236c8e3ea647(1).jpg
 
Back
Top Bottom