I don't call it cheating, I call it having a plan B...

Poleni..hamna tofauti na mama alielea mtoto wake vbaya alafu akawa anamsema vbaya na kumlalamikia..mngejielewa nyie msingepangwa folen.
 
Dah hii para ya kwanza sijui ni kweli, kuna dada nimegombana nae alikua analazimisha kwamba lazima nna wanawake wengine. Hii mentality ni ya ovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

NAKAZIA
 
Wakati unafanya hizo plan ukumbuke kuna Mungu, na cheating is a SIN na duniani tunapita tu na kifuatacho ni hukumu. Tusiishe as if kesho yetu tunaijua
Wewe nani kakudanganya!
 
Shida ni kuacha hii tabia ikishakua sehemu ya maisha yako
 
Huwa nashindwa kuwa na plan zaid ya A... huwa inaniumiza sana kuna mbuz moja imeniacha juz kati hapa nmeumia ksnge....

Kwanza dem mwenyew mfupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…