"I am just a small boy"

"I am just a small boy"

Mbona kaongea kiswahili hiki hiki tu kaka??

Kwani kaongea hicho kizungu cha watoto wa Makel kama wewe na huyo mdodo wangu mwingine??

Ila siyo fair kuongea kilugha chenu mbele ya public wakuu..lol!!

Babu DC!!
afadhali umenitetea, maana ilibidi nirudie mara kumi kumi kusoama kama nimeandika cha ajabu....
nilitaka kuomba tufute post, lol!
 
ah babu bana !
mi hata simwelewi!
af mkiondokaga hapa anaaanza oh mi sijui mstaafu kwahiyo sijui per diems zinajazwaje or sijui imprest forms na invoice zinaandikwaje
kwani enzi zako zilikuwa hamnaaa babu!ah!
su uaplay ujuzi banaaa


Halafu wewe???

Ndiyo maana nimekataa kuwawekea wajukuu ule mkanda....

Na sitakaa niuweke labda ufichwe kwa mara ya 2...lol!!

Babu DC!!
 
afadhali umenitetea, maana ilibidi nirudie mara kumi kumi kusoama kama nimeandika cha ajabu....
nilitaka kuomba tufute post, lol!


Umenichekesha sana na hadithi ya kufuta post ili kukimbia utatu mtakatifu...lol!!!

Haya bwana...ngoja sasa nikamalizane na mzee mwenzangu...

Babu DC!!
 
labda mkewe anamuitaga bebi akajua yeye ni bebi kweli
hii inaweza kuwa sababu...
au kwao ni last born.... lol!
kuna siku aunt yangu aliolewa na last born wa mama zangu aliniambia nisithubutu kuolewa na lazt born, eti huwa hawakui, lol!
 
Umenichekesha sana na hadithi ya kufuta post ili kukimbia utatu mtakatifu...lol!!!

Haya bwana...ngoja sasa nikamalizane na mzee mwenzangu...

Babu DC!!
ha haaaa, umekumbuka eeeh!
haya babu kamalizane naye salama
 
Umenichekesha sana na hadithi ya kufuta post ili kukimbia utatu mtakatifu...lol!!!

Haya bwana...ngoja sasa nikamalizane na mzee mwenzangu...

Babu DC!!
BABU LEO HATA UAGE MARA NGAPI!
haya maswali humu utayakuta tu kesho!
kisa cha kutaka kufuta post we na dada mkubwa nini!
ARE WE MISSING SOMESING ZERE!
 
wewe acha uchokozi..... ntakuwa sikutetei ukipigwa....
sasa kwani mimi binti? hiyo ilikuwa general....
babu Dark City njoo unitetee huku


Mbona nilikwambia toka mwanzao kwamba huyu mdogo wako huyu.......ngumu sana kumwelewa....

Naamini hata yule mtuhumiwa bado yuko class anamsoma....

Kazi kweli kweli...

Babu DC!!
 
Inawezekana ila alichukulia kuwa kila mwanamke atakuwa anamita baby, sijue babe.....lol!!

Hiki kizazi kazi kinayo kwe kwel...

Babu DC!!
akadhani hata mimi nitaingia kwa huo mkumbo? ashindwe na alegee
 
BABU LEO HATA UAGE MARA NGAPI!
haya maswali humu utayakuta tu kesho!
kisa cha kutaka kufuta post we na dada mkubwa nini!
ARE WE MISSING SOMESING ZERE!
he heeee, lugha zetu tunazijua wenyewe....
hiki hiki kiswahili siyo kama nyie mpaka muhamie external, lol! ukubwa dawa...
cc. Dark City
 
Last edited by a moderator:
BABU LEO HATA UAGE MARA NGAPI!
haya maswali humu utayakuta tu kesho!
kisa cha kutaka kufuta post we na dada mkubwa nini!
ARE WE MISSING SOMESING ZERE!


Ndo unajaribu kutunga mtihani wa form 4 2013 ili tushushe kiwango hadi 21%???

halafu ungejua unavyomkosea adabu dada yako, ungeshaenda kuandaa somo la kesho...lol!!

Babu DC!!
 
Mbona nilikwambia toka mwanzao kwamba huyu mdogo wako huyu.......ngumu sana kumwelewa....

Naamini hata yule mtuhumiwa bado yuko class anamsoma....

Kazi kweli kweli...

Babu DC!!
ahahahhahahahhahhaha
mi haya maswali hivi yananisaidi sana kurahisisha kufundisha wanafunzi wenye akili kama kina Kaizer, Asprin na SnowBall !
yani hainisumbui kabisaaa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom