"I am just a small boy"

"I am just a small boy"

tulikuwa mimi na mkaka mwingine tunakula, tukaanza kuongelea mambo ya familia, kujijenga kifamilia na mambo kama hayo.
mwenzake akawa hana uhakika huyu kaka kaoa lini, ndo mambo yote yalipoanzia.
akawa anachanganya na kumtajia zamani kidogo, jamaa ndo akaruka akamwambia nimeoa mwaka juzi tu, unajua mimi bado ni mdogo sana, lol!
bahati nzuri tulishamaliza kula, nikainuka nikaanza zangu maana angenishitukia namshangaa

Kipi haswa alisema "unajua mimi bado ni mdogo sana " ai "i 'm just a small boy "? .nadhani haya maneno yana uzito tofauti. Kama alisema I 'm just a small boy ni kuwa huenda hakujua boy na haswa small boy ni nani. Au ndo ulegelege wenyewe. Kama alisema mimi bado mdogo sioni tatizo haswa kama alihusishwa na mambo yaliyo tukia kabla yeye kukua
 
kweli mdogo wangu...
kuna sehemu nilimwaga sumu watu wasiolewe na ma-last born, hawakui hao.... kumbe sasa namharibia mdogo wangu, lol!
naenda kufuta faster, lol!

Ha ha haaaa!!! Na kweli aisee!!! Isije ikala kwangu bureeeee...nikaanza kutafuta mchawi nani kumbe dada yangu mwenyewe kanikorogea sumu.
 
lol! hahahahah

FP mpira unaanz in 15 minutes so sina wasi wasi kabisa.....na sala yako haifiki popote....lol

hivi BAK hajapata ule wimbo au anatengeneza pancha?

Mhhhh! snowhite nilipita mitaa ya kule na washkaji zangu vurumai tulizozifanya kule mpaka leo tukikutana na kukumbuka kipindi kile yaani ni vicheko vya hali ya juu. Kuna watu dunia hii machakaram banaaaa! we acha tu!!! Ngoja tu nikae kimya nisije nikaropoka bure 🙂🙂

itakuwa BAK anasaidiamo na kuweka tumaua si unamjua alivo lover boy na yeye manake nay watoto wa kingoni walichomtenda si kidogo ati!
so anajua swag zao!
 
Last edited by a moderator:
kudaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaadeki!
babu ukifika mahali pa kusahau kuweka signature ya
Babu DC
mimi mjukuu wako kipenzi huwa najua umefika wapi!mimi tuuu!wengine hawaelewei babu!sana sana nitammwambia Kaizer ,TU!

Nilikuwa nimeshapewa ultimutum na bibi na hakuna kingine bwana...lol

Halafu na wewe umeandika vibaya sahihi ya Babu..


Babu DC!!
 
Ma General waliostaafu huwa bado wana ukakamavu ule ule waliokuwa nao jeshini ndio maana hata mitaani wanaogopwa bado...chezeya general wewe! wana ujuzi uliotukuka, hauzeeki, yaani ni seamless

Haki ya nani leo umeamua kuiba paper leo....hadi unalazimisha majibu mzee mwenzangu??

rafiki acha kuungana na dogo snowhite.....
au na wewe umepoteza uaminifu kwangu siku hizi?

Hawa naanza kupoteza imani nao kabisa..lol!!

WAAAAAPI!
chezeya dadangu mimi wewe!
af ujue tumebaki peke yetu humu!ahahahhahahahha sijui ndo washafika getini mweh!eti BAK we ndo ulikuwa barabarani muda si mrefu uliopita hujapishana na land rover la kijani hapo nje!?

Kwa uchokozi sikuwezi....

Ingekuwa ni kazi, ungekuwa unalipwa super scale...lo!!

kweli FP maana kusema ukweli babu Dark City kasahau signature yake leo,.....mi nimesema mwanzoni watoto wa kingoni si wa kuchezeya, nimeona mengi....sasa hapa wala we are not re-inventing the wheel....ni kushuhudia gari likienda vizuuuri tu

Mmebarikiwa sana aiseee.... snowhite please note karibia namaliza assignment afu leo kuna mpira...

Hivi kuna jingine mnatafuta au kumchokoza babu tu ili mfurahishe roho zenu??

dada mkubwa hivi katika nondo zooote zile ulizonirithisha kweli ukaona hii ya kumfanya mtu asahau signatori huwezi kunimegeamo af mi kwan nataka kuiaply kwa jenerali mstaafu kwaaani hoyo najua dose yake itakuwa kubwa sana mi nataka ya kumsahaulisha mheshimiwa mtuhumiwa wangu tu japo hata jina lake kwa dak kadhaaa!mwe!

Wewe hata ukipewa hazitakusaidia....ulishafuatilia madhara ya premature delivery kwa wahusika??

hahahahahaha........sijui BAK anachagua CD ya kuweka......itakuwa ya Luther Vandrose "my secret love" nadhani or something like that

Siye tuendelee tuone kama watafika home....ilo landrover litakuwa na nyota mbili

Mkuu Kaizer,

Sasa nakaribia mwisho wa uvumilivu....itabidi niombe msaada wa "Sweet Redds"!!

mi nilidhani upo upande wangu, kumbe.....
mwacheni babu mstaafu jamani....
mtamkumbusha machungu ya kustaafu, unafikiria mwenzenu kapenda? umri ndo hauruhusu na mbaya zaidi hana say na umri...... uzee ukifika umefika.... siyo kama huyu "I am a small boy" at 30, lol!

Yaani hawa wamemua kumkosea adabu babu,

Sikuamini kama wanaweza kufikia level hii.....

hivi nyie mtu na mwalimu wake mna nini nami na babu?

Hivi huyu snowhite yukoje leo?

Utadhani ni Kongosho....au kaiba password yake..lol!!

ahahahahhahahha we humjui huyu babu!ni jenerali wa geshi la wananchi dada mkubwa!im warning yu ohhhh!
kuna mbinu shaka zulu alikuwa anaitumia kuwapiga wenzie inaitwa COW HORN TACTIC!
ukitaka kuielewa hii waangalie ng'ombe wa banyankole ndo utajua nini huyu babu anafanya!
CC Dark City

Hii sasa ni aina nyingine ya kuvunjiana heshima....

Ngoja niwasiliane na loya wangu tuone tunaendaje...Najua mtuhumia atasaidia kulipapo tufidia!!

jamani jamani........
ngoja mwenyewe aje hapa uone zali lake

Yaani sikuwaelewa hawa watu....

Anyway, siku imeisha sasa...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ahahhahhah Kaizer ujue tunamzuia dada mkubwa kutoka nje!
babu anachomeshwa mahindi tu huko!
ila poa wacha akumbushiamo!
zamani ilikuwa mzee k ndo kakaa hapo af babu anadekije rum mara kumi kumi!(hii aliisema mwenywe hapa hukuwepo tu mwanafunzi wangu uzuri mi huwa notes naziwekaga kichwani lol)

Ulishaambiwa kuwa JF hakuna ruhusa ya kufungua na kutunza mafaili...sasa wewe endelea endelea,

Usijekusema kuwa babu hakukupa warning...


Babu DC!!
 
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno. Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy". Sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?

Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa


ndio wazuri kuwaibia hao ili akome tena nawewe ulitakiwa ujifanye mtoto kuliko yeye, dizain watu kama huyo ukichelewa kidogo anawahi kukuingiza mjini ilibidi umuibie ili akome kujitotosha. ungelitia hasara usingeondoka
 
mlongo wangu nimechekaje sasa?
yeye aliyemwambia mimi nataka serengeti boy nani?
mimi nataka mtu wa kumwamkia bwana

Hahaahahahahahaaa! LoH!!! FP umenichekesha sana, yaani unamwamkia shikamoooo! halafu unafungua vifungo vya baluzi yako, unavua sketi, unamalizia na vingine, mnaDo! Khaaaaaaaaaaaaaaaa!! ALAFU UNASEMA Shikamooooo! ya nn sasa hiyo kama umeweza kumuona alivyo? MM sitaki kabisa kuzugwa.
 
hiv Paloma kweli huu uzi toka unaanza we upo kimya tu af upo hapa masaa ka manne kama sio sita hiz
umeuchuna tuuu au umelaaala

yani acha tu mwalim......kontessa ilikuwa inanitesa..........kila nikishika vitufe nivibonyeze ili nikujibu nasinzia tuu....nimesinzia mpaka saa hiii...........acha tu maneno ya kontessa! bro Mtambuzi mbona kaniweza mwenzenuuu.....
 
Last edited by a moderator:
af babu yani umenikumbsha !
madhara ya pre mature delivery walahi ni kuogopa kurudi mlima wa moto!
yani we wacha tu!
wacha kitu cha minor kina 14 af dogolas 7 af mpka sa hiz nachomekea suruali tu!wacha kabisa!
mweh!
mtuhumiwa alinitenda kama kidogo kwani!
itabidi anisomeshe sana kunirudisha kule
 
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno. Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy". Sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?

Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
FP lazima uelewe banaaa.....sisi wenyewe tunawaita "bebi", bebi i lav yu, bebi hiki bebi kile,,, ukute mkewe naye dozi ni ya bebi this bebi that. so na mwenyewe anajichukulia kama bado mbebi vilee....small boy!
(justthinking)
 
Last edited by a moderator:
huyo ni type ya Mtambuzi kwao hata shikamoo inamnyima raha,wanapendelea totoz

ila huyo kama sio Mtambuzi huyo sijuiii!

shem wangu Mtambuzi leo unalo hapa, sijui utatokaje kwa hili?

si kaseeeeeeeeeeeeeeeeema tusimwamkie!sasa kumbe manake nini si ndo anasema kuwa yeye he is just a small boy!
wapi le petit garcon Mtambuzi waaapi !UJE UBHAELEZE NDYO VILE UKO MUDOGO!bhananibishia bhandughu!

mkuu Mtambuzi njoo jibu tuhuma huku......

hahahaha Mtambuzi leo amekuwa sample......

leo Mtambuzi atajuuta kukataa shikamoo, lol!

Hahahahahahahahahahaha
FP umejiuliza kwa nini Mtambuzi hataki shikamoo?

Bora afe hiyo njaa ya Mtambuzi kuliko aresti ini piisi

Naona mmenishupalia mtadhani nimekula vya kwenu... waja laana nyie msio na haya.....

Nilisema I hate SHIKAMOO kwa sababu kwa mila zetu ni mwiko kuamikiwa kwa salaami hiyo.... inakumbusha mambo ya kikoloni....
 
Naona mmenishupalia mtadhani nimekula vya kwenu... waja laana nyie msio na haya.....

Nilisema I hate SHIKAMOO kwa sababu kwa mila zetu ni mwiko kuamikiwa kwa salaami hiyo.... inakumbusha mambo ya kikoloni....

ahahahahahahhahahah hujui tu vile jana nilikutafta ! Nicas Mtei nkamwambia nisaidie kuntafti ankal ah !sasa alinipa ramani?
nikabaki kuwaangalia tu wanavokuandama!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom