Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
hiyo inahitaji uwe mstaafu kama mimi.....
nondo zoote zikishindikana ndo unaapply hii....
vuta subra kidogo, sasa unataka umpite dadako na wewe? mkubwa ni mkubwa tu
Bora manake anaweza hata kuianzia majaribio kwa mwanafunzi wake bure....na ninavomfahamu mwalimu wangu sidhani kama nitapona.....Eee Mungu nisaide.