Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
kwaresima hii..............majaribu haya.............shetani kanipitia dadangu....nimeinywa share yako....sambi sako mwenyewe kwa kunipa share yako...........
FP lazima uelewe banaaa.....sisi wenyewe tunawaita "bebi", bebi i lav yu, bebi hiki bebi kile,,, ukute mkewe naye dozi ni ya bebi this bebi that. so na mwenyewe anajichukulia kama bado mbebi vilee....small boy!
(justthinking)
babu shikamoo!
shikamoo tena!
Huyo anatafuta mbinu ya kutafuna dogodogojamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno. Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy". Sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
ahahahhahahhahah we unafanya masikhara babu kusahau signature yake!?[
Hizi shikamoo zako za uchokozi...
Haya bwana, nimekubali...
Naona mmekesha mnahashuana na wa wanafunzi...lol!!
Babu DC!!
ahahahahhahahha mi nmejionea bora nijifundishie zangu darasa la II B
ha haaa, labda....FP lazima uelewe banaaa.....sisi wenyewe tunawaita "bebi", bebi i lav yu, bebi hiki bebi kile,,, ukute mkewe naye dozi ni ya bebi this bebi that. so na mwenyewe anajichukulia kama bado mbebi vilee....small boy!
(justthinking)
ahahahahhahahha mi nmejionea bora nijifundishie zangu darasa la II B
Naona mmenishupalia mtadhani nimekula vya kwenu... waja laana nyie msio na haya.....
Nilisema I hate SHIKAMOO kwa sababu kwa mila zetu ni mwiko kuamikiwa kwa salaami hiyo.... inakumbusha mambo ya kikoloni....
ahahahhahahhahah we unafanya masikhara babu kusahau signature yake!?
ilikuwa hamna jinsi wanafunzi na walimu wafanye remedial classes
eti Kaizer?
ha haaa, labda....
sasa mbona wengi wanaitwa bebi lakini hawajitangazi ni masmall boy?
Hivi na wewe huwa unatumia hayo maneno??
Sie tulishayafuta kabisa.....
Yaani ustaafu wote huu mjione kuwa ni ma-toddler??
Hapana bwana.......tunaitana majina ya ujana wetu and it's sweeter that huo udhungu koko!!
Babu DC!!
Babu hapa ulitaka kuseeema? Kaizer kwani ile thumu iliyokufanya jana usiku usamehe boli moja ya madhara yake ilikuwa ni kukosea tahajia au?Ndo maana nakwambiaga kuwa bado ile prematurity inakuandama.....
Si nimesema huko nyumba kwamba mwenye mali alishaanza kuchimba mkwara??
Au ulitaka nipigwe ban na Bibi....halafu ningekimbilia wapi??
Babu DC!!
ahahahahahhahahMbona hamuwatendei haki watoto wa watu??
Wasipochafuka watajifunzaje?
Babu DC!!
alisema kama nilivyoandika hapo, kwa lugha hiyo hiyo....Kipi haswa alisema "unajua mimi bado ni mdogo sana " ai "i 'm just a small boy "? .nadhani haya maneno yana uzito tofauti. Kama alisema I 'm just a small boy ni kuwa huenda hakujua boy na haswa small boy ni nani. Au ndo ulegelege wenyewe. Kama alisema mimi bado mdogo sioni tatizo haswa kama alihusishwa na mambo yaliyo tukia kabla yeye kukua
ha haaa, labda....
sasa mbona wengi wanaitwa bebi lakini hawajitangazi ni masmall boy?
ha haaa, umenikumbusha mdogo wangu alipograduate wakamwomba akafundishe sekondari akakataa, sasa nikamwuliza kwa nini? akaniambia napenda sana kazi yangu..... kule sekondari nitaua watoto wa watu, wanatongoza hao balaa, lol!ahahahahhahahha mi nmejionea bora nijifundishie zangu darasa la II B
mi sijasema kama nayatumia babu.....Hivi na wewe huwa unatumia hayo maneno??
Sie tulishayafuta kabisa.....
Yaani ustaafu wote huu mjione kuwa ni ma-toddler??
Hapana bwana.......tunaitana majina ya ujana wetu and it's sweeter that huo udhungu koko!!
Babu DC!!