snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
enenda kwa amani ukaangalie mpira!Order well received madam......anything else?
mi naanza kuandika lesson plan huku!
enenda kwa amani ukaangalie mpira!Order well received madam......anything else?
ahahahahhahahhahah mi mwenywe nayeandika nakufa mbavu hapa !mweh bhangi zingine hizi
lol!
mmenifurahisha sana mtu na mwalimu, lol!Order well received madam......anything else?
naona amekuwa kama babu Dark City
chezeya watoto wa kingoni weewe!
kazana kidogo tu atasahau signature, lol!
ha haaaa.....
mi natamani kuzeeka maana treatment zinarudi kuwa kama za mtoto, lol!
ahahahhahahahhhahha nini signature
huyu anachokisahau ni beyond borders i see umeona amshasahau aende akashabikie timu gani mpka sa hz if at all ataenda kwenye mpira!
ha haaaa, unaanza kuita mlete kabla moto haujawaka?dada mkubwa akija mwenye mume hapa usinikimbie!
na sijui yuko wapi gfsonwin mweee!
ngoja nijishaue hapaaaa akija takomajee
ha haaaa, siyo uzee wa hivyo, lol!mmmmh uko hata sikutaki mambo ya kutolewa juani na kurudishwa ndani na wanaokuuhudumia kukuombea kifo aaaaah.utoto raha unanukia pooooda
ahahahhahha
wewe hebu kaangalie mpira urudi tufanye assignment!
ntadogde kipindi mimi!
ahahahhahahahhhahha nini signature
huyu anachokisahau ni beyond borders i see umeona amshasahau aende akashabikie timu gani mpka sa hz if at all ataenda kwenye mpira!
ummu kulthum habari za singida?mmmmh uko hata sikutaki mambo ya kutolewa juani na kurudishwa ndani na wanaokuuhudumia kukuombea kifo aaaaah.utoto raha unanukia pooooda
ummu kulthum habari za singida?
uliwahi kuona ramani ya vita inatolewa copy?Usije tu ukatoa siri, lol
Waridi kama ua ni zuri ila linakiwaga kwen miiba....
Nipo huku na kule....sikubali miye....au ndo sumu anayosena @fp? Lol