Huu sasa ndiyo uchokozi tunaousema...
Haya bwana...
Ma General waliostaafu huwa bado wana ukakamavu ule ule waliokuwa nao jeshini ndio maana hata mitaani wanaogopwa bado...chezeya general wewe! wana ujuzi uliotukuka, hauzeeki, yaani ni seamless
bora unitetee Kaizer...
atuwache tupumuwe, lol!
ha haaa, una vituko wewe! lol!kwa hili la leo lazima nikuvushe darsa!
CHEZEYA BABU KUSAHAHU SIGNATORI!aahahahahhahahah hii niliwahi kuishuhudia mara moja tuuu toka JF IANZE!
leo ya pili!kwa mwendo huu nafkir haitatokea kamwe!
bora unitetee Kaizer...
atuwache tupumuwe, lol!
WAAAAAPI!
chezeya dadangu mimi wewe!
af ujue tumebaki peke yetu humu!ahahahhahahahha sijui ndo washafika getini mweh!eti BAK we ndo ulikuwa barabarani muda si mrefu uliopita hujapishana na land rover la kijani hapo nje!?
pana mashaka !uzuri we ulishajjikomnfesia mapemaaaaaaaaaaaaaaakweli FP maana kusema ukweli babu Dark City kasahau signature yake leo,.....mi nimesema mwanzoni watoto wa kingoni si wa kuchezeya, nimeona mengi....sasa hapa wala we are not re-inventing the wheel....ni kushuhudia gari likienda vizuuuri tu
Mmebarikiwa sana aiseee.... snowhite please note karibia namaliza assignment afu leo kuna mpira...
mi nilidhani upo upande wangu, kumbe.....kweli FP maana kusema ukweli babu Dark City kasahau signature yake leo,.....mi nimesema mwanzoni watoto wa kingoni si wa kuchezeya, nimeona mengi....sasa hapa wala we are not re-inventing the wheel....ni kushuhudia gari likienda vizuuuri tu
Mmebarikiwa sana aiseee.... snowhite please note karibia namaliza assignment afu leo kuna mpira...
itakuwa BAK anasaidiamo na kuweka tumaua si unamjua alivo lover boy na yeye manake nay watoto wa kingoni walichomtenda si kidogo ati!hahahahahaha........sijui BAK anachagua CD ya kuweka......itakuwa ya Luther Vandrose "my secret love" nadhani or something like that
Siye tuendelee tuone kama watafika home....ilo landrover litakuwa na nyota mbili
pana mashaka !uzuri we ulishajjikomnfesia mapemaaaaaaaaaaaaaaa
we kacheki mpira ukirudi darasa linaendelea!
hujasoma sin na cos siku nying sana bana!
hiyo inahitaji uwe mstaafu kama mimi.....dada mkubwa hivi katika nondo zooote zile ulizonirithisha kweli ukaona hii ya kumfanya mtu asahau signatori huwezi kunimegeamo af mi kwan nataka kuiaply kwa jenerali mstaafu kwaaani hoyo najua dose yake itakuwa kubwa sana mi nataka ya kumsahaulisha mheshimiwa mtuhumiwa wangu tu japo hata jina lake kwa dak kadhaaa!mwe!
mi nilidhani upo upande wangu, kumbe.....
mwacheni babu mstaafu jamani....
mtamkumbusha machungu ya kustaafu, unafikiria mwenzenu kapenda? umri ndo hauruhusu na mbaya zaidi hana say na umri...... uzee ukifika umefika.... siyo kama huyu "I am a small boy" at 30, lol!