Ndyo waumini, wamemnunulia gari, wamemjengea nyumba, wanamsomeshea watoto wake shule za private.Na waamini au π€
Huyo nae ni ndio nani huko daslamu?!Hello
Waumini wa huyu pastor wenu pitozi anaitwa PT.
Sijui Tony wa Kapola naombeni mjitathmini sana.
Sipo hapa kumsema Wala kupinga huduma yake
Ila kwanini muda mwingi wa mahubiri yake umekuwa ni wa majingambo kujisifu juu ya kumiliki magari hela na nyumba Kali.
Lakini akisahau waumini wake kwa asilimia kubwa ni Wanachuo wenye maisha magumu walipigika na maisha wameamua kusali kwake kupata faraja ila mwisho wameishia kuchambwa kuanzia mchungaji na mke wake.
Kiukweli kwenye biblia Mungu alituachia neno lake na inatupasa kuliamini.
Ila asitumie madhabahu kama sehemu ya mipasho na majigambo.
Mimi nimeomba Huyu Tony kapola ajifunze kwa wakina mwakasege.
Kama juzi amepaniki kwenye sakata lake la muujiza wa gas.
Wakati watu wengi wanajua yeye tapeli na motivation speaker aliyechangamka.
Kuna kanisa morogoro mkuyuni amelitelekeza.
Vijana wa kanisa lake anawafanyisha kazi bila malipo Wala posho.
Malaya wa kutupwa anatongoza sana waumini wake
Ila waumini wake wamekuwa kama mataira.
Jesuu kumbe sadaka tamu hvNdyo waumini, wamemnunulia gari, wamemjengea nyumba, wanamsomeshea watoto wake shule za private.
Na kila msimu wa mavuno, kila muumini anatoa kiasi cha mazao yake kwa mchungaji.
Fungu la 10 wanaita.
πππππ
Nimesoma mstari wa mwisho tu πHello
Waumini wa huyu pastor wenu pitozi anaitwa PT.
Sijui Tony wa Kapola naombeni mjitathmini sana.
Sipo hapa kumsema Wala kupinga huduma yake
Ila kwanini muda mwingi wa mahubiri yake umekuwa ni wa majingambo kujisifu juu ya kumiliki magari hela na nyumba Kali.
Lakini akisahau waumini wake kwa asilimia kubwa ni Wanachuo wenye maisha magumu walipigika na maisha wameamua kusali kwake kupata faraja ila mwisho wameishia kuchambwa kuanzia mchungaji na mke wake.
Kiukweli kwenye biblia Mungu alituachia neno lake na inatupasa kuliamini.
Ila asitumie madhabahu kama sehemu ya mipasho na majigambo.
Mimi nimeomba Huyu Tony kapola ajifunze kwa wakina mwakasege.
Kama juzi amepaniki kwenye sakata lake la muujiza wa gas.
Wakati watu wengi wanajua yeye tapeli na motivation speaker aliyechangamka.
Kuna kanisa morogoro mkuyuni amelitelekeza.
Vijana wa kanisa lake anawafanyisha kazi bila malipo Wala posho.
Malaya wa kutupwa anatongoza sana waumini wake
Ila waumini wake wamekuwa kama mataira.
Haswaaa, ππππJesuu kumbe sadaka tamu hv
Kijana msihukumu.. Mwakasege nimemfahamu miaka mingi mno tangu 2006Mwakasege nae tapeli tu ila ni mtu mzima utapeli wake una hekima kubwa
Mwakasege mtoeYaani wafuasi wa makanisa uchwara type ya mwamposa, Tony, mwakasege, suguye, zumaridi, nick shaboka,
Sijui nawaonajee vilee, km wendawazimu.
Watanisamehe kwa kweli, ππππππ
Simtoi, ππππMwakasege mtoe
Gen Z mnajua mnakinga za laana zote ndio maana mnatambaMwakasege nae tapeli tu ila ni mtu mzima utapeli wake una hekima kubwa
Nenda kasali uchukue nafasi ya mtunza fedhaMsamala - Miembeni, unashuka barabara mpyaa unateremka na njia inayokuja shuleni.
Ndo mitaa ya home kabisaa, ibada na makelele yote ya kanisani nayasikia.
ππππππ
Aaaah wapii, RC penyewe nishasahau mara ya mwisho kuingia, na hivi limeboreshwa na limekuwa zurii. Naishia kuliona kwa nje tyuu. LolNenda kasali uchukue nafasi ya mtunza fedha
Unasali kwa Father Due.Aaaah wapii, RC penyewe nishasahau mara ya mwisho kuingia, na hivi limeboreshwa na limekuwa zurii. Naishia kuliona kwa nje tyuu. Lol
Ndiyo hapa juu lami karibu na mbulushi shell.Unasali kwa Father Due.
Miyayusho sana huyo, aligoma kusalisha misa ya msiba akatuma katekista. Tumetoka kuzika tukamkuta Grocery moja anapiga ugimbi hana habariNdiyo hapa juu lami karibu na mbulushi shell.
Mtata huyo hatarii, πππππMiyayusho sana huyo, aligoma kusalisha misa ya msiba akatuma katekista. Tumetoka kuzika tukamkuta Grocery moja anapiga ugimbi hana habari
Hana utata kwenye wadala ni mlaini kama tishu kwenye majiMtata huyo hatarii, πππππ