Hili somo hawa kina Chausiku Titimalapa hawawezi kuelewa wao ni kuwaza kupewa, kupewa, kupewaAlikua na mambo yake kajikatia ticket yake, ndiyo kakutwa na hiyo surprise hakua anasumbua mtu...
No comment...Hili somo hawa kina Chausiku Titimalapa hawawezi kuelewa wao ni kuwaza kupewa, kupewa, kupewa
Huku kina Nakadori wanawaza kudanga tu na ndoto za kupandishwa private jet. Sick ass mindsetSasa mwanamke anajilipia mwenyewe ticket ya ndege kwa shughuli zake
Hata kama ni mimi sina uwezo wa private jet namuongezea tu akae hata first class
Huyo binti, ye mwenyewe anajiweza. Ni muigizaji maarufu huko Nigeria. Alianza kuigiza akiwa ana umri mdogo. Alizaliwa 10/10/2000.Biashara yenyewe ya RD ni mtaji alipewa na huyo mwanaume.
Watengenezeni wanawake wawe na class mnayoitaka msitafute kichaka cha kujificha
Yeah ni muigizaji kitambo so vimilioni hakosiHuyo binti, ye mwenyewe anajiweza. Ni muigizaji maarufu huko Nigeria. Alianza kuigiza akiwa ana umri mdogo. Alizaliwa 10/10/2000.
Jamaa aliyemuoa 31/5/2020 alizaliwa 21/12/1960.
Kwa tofauti ya umri huo, na umaarufu wa huyo binti, na bwana mzee kuwa na fedha, ana haki kufanya anayofanya kwa KABINTI ambaye ni mke wake! View attachment 2124099
Kwani mnapodai treatment za juu huwa mnaangalia kwanza uwezo wa waume zenu?Ukishashakubali kunioa maana yake ni kwamba nimekuridhisha, hupaswi kunipa mapenzi nusu eti kwa sababu sifanani na Klyn. Nina haki ya kupewa treatment anazopewa mwanamke mwingine yeyote hata kama nikiwa Asha Boko as long as una uwezo wa kufanya hivyo
Sasa kama wadada wazuri wenye chura, nikiwatongoza wananikataa, unataka nifanyeje zaidi ya kuchukua mdada flat screen mwenye sura personal KhantweSura ya baba si umemchagua mwenyewe lakini...umeenda kwa miguu yako kutoa mahari
Kuna aina ya wanawake ukiwa nao mambo yako yataenda mbele ni kama wanabaraka ila kuna wengine utajikuta unarudi nyuma.View attachment 2123487
This image says alot about how special this woman is. Anaonesha ni wale family women ambao wameanza deep on the roots na mwamba na still waka push support ya kutosha mpaka kufikia hapo halafu sio mmbovu kiivyo kwenye grade ya waifu materials anatazamika.
Yani mwanamke wa hivyo ukimzingua makusudi lazma mambo yakuharibikie tu😅
Kweli tena yani! Mtt bonge la waifu tirioKuna aina ya wanawake ukiwa nao mambo yako yataenda mbele ni kama wanabaraka ila kuna wengine utajikuta unarudi nyuma.
Lkn wanaume mna dhambi sana [emoji23]Unakuta mtu ana sura ya baba Afu anataka kupandishwa private jet. Inakuaje sasa hapo[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] comments zinanitoa mbavuSasa ww unakuta una hadhi ya kupanda punda lkn unajipa hadhi ya kupanda PJ...
Wapo wenye hela na hawahangaiki kabisa na wake zao. Dhambiiiukiwa na pesa hakuna kinachoshindikana,ni sawa na kumlipia mkeo ticket ya ndege aende zanzibar ili asiende tu na gari kwa usalama zaidi asije akazama [emoji23][emoji23]