Huyu sasa ndio ameolewa, wengine mnasindikiza

Ufatilie tu juzi ulimokuwamo😅 sijui ni hasira za deeppond kukuchomesha maindi
Hahahahaha nacheka kama mazuriiiiiiiii
Me na binam yangu deep pond hatuwezi kugombana bwanaaa hadi nichukie...
Si ndugu wa kwelikweli undugu hazina yetu
Nitag bwana hukoo
 
Mume Ana mchango mkubwa kwenye hizo business
Hivyo hivyo....si unaona mwanamke kamaliza kwanza kukata ticket yake ndo kasema sasa kuna wale wengine kila kitu anakupa taarifa ili utoe hela yan hadi inafikia inakuwa unyonyaji damu tu
 
[emoji382][emoji382]
 
Heheh kwa hyo ulimshauri kudanga then anarudi umuoe mke wa 2
Sio yeye, ni watu wawili tofauti, mmoja ni wa south na mwingine ni uturuki, huyu wa uturuki kesi tofauti..
Huyu tulikutana mazingira fulani, akanielewa, kipindi hiko sina mtu, na protini zinataka kupasua vichupa, nikaona ndio pakuponea, kumbe yule yupo serious, halaf kipindi hiko nina majanga kama takataka, wala kiuchumi pia sikuwa sawa kabisa, ndani nina godoro na vitu vichache, mtu niliyekuwa naishi nae nilimtimua na kumpa kila kitu akaanze maisha.
So demu akafika mpaka kwangu, penzi likamnogea akataka ahamie kabisa, tufunge na ndoa, sasa mimi sikuwa serious nae, akili yangu ilikuwa inamchukulia dada wa mjini tu, napiga MBUPU nasepa, akawa serious kabisa, uzuri mezani kwake ikaja hiyo deal ya kazi huko, akataka kugoma tufunge ndoa, nilidhani anatania au ananivutia maji marefu anigonge parefu, kumbe yuko serious, nilipogundua hilo sikumkawiza nikampa uhalisia(japo sikumwambia wazi kama simuelewi) nilimwambia tu hali yangu si anaiona, sasa asikatae hiyo dili ya akapige kazi, mimi huku navuta pumzi, akirudi nami nitakuwa fresh, hiyo ndoa itapenya, akaelewa somo akakubali, nilidhani utani, heee... Siku anakuja kunitwangia whatsapp naona namba ngeni kupokea yeye, yupo kwa kina ertugrul huko, basi fresh tukwa tunawasiliana, hapa kati nikaona uzinifu utanimaliza nae yule sikuwa namuamini kiviiile, nikavuta jiko, ila nilimueleza uhalisia, katoa go ahead, ila akirudi yeye ndoa iko pale pale.

Soon nitakuwa MUME WA WATU sio mume wa mtu tena. 😂
 
Kitu OG kutoka mbeya halafu upandishwe private jet
Wanawake wengi mnaotaga ndoto za abu nuwas na aladin kwakweli, ni asilimia ngapi ya wanaume duniani wenye uwezo wa kumpandisha mwanamke kwenye private jet? Na chances za wewe kupendwa na kukutana na mwanaume iyo ni asilimia ngapi?

Yani ndoto zako wewe ni sawa na mimi ni-imagine kudate au kupewa papuchi na Rihanna au Ariana grande kitu ambacho ni impossible.

Ndo maana Kevin samuels kule YouTube anawaambia ukweli, kuna mdada wa kimarekani aliweka vigezo alisema anataka mwanaume mwenye kipato cha USD 400,000 kwa mwaka, wakati Marekani ni 1% ya watu ndoa wanaingiza hiyo hela
Nakadori
 
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.

Sasa wanaume wetu hawa akina fundi Juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.

Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.

View attachment 2123470
Unataka kupetiwa kujaliwa je unayo bikra ?!! Nungaiyembe una libakuli katikati ya mapaja siajabu hata 0713 washatindua unataka kupetiwa. Wanawake wa kibongo mbuzi kweli.

Unataka kupetiwa je una chura, wewe ni mrefu, mweupe na chotara au lisura ka la baba yako afu unataka kupetiwa mbuzi wa kipare jinga sana.
 
Sio yeye, ni watu wawili tofauti, mmoja ni wa south na mwingine ni uturuki, huyu wa uturuki kesi tofauti..
Huyu tulikutana mazingira fulani, akanielewa, kipindi hiko sina mtu, na protini zinataka kupasua vichupa, nikaona ndio pakuponea, kumbe yule yupo serious, halaf kipindi hiko nina majanga kama takataka, wala kiuchumi pia sikuwa sawa kabisa, ndani nina godoro na vitu vichache, mtu niliyekuwa naishi nae nilimtimua na kumpa kila kitu akaanze maisha.
So demu akafika mpaka kwangu, penzi likamnogea akataka ahamie kabisa, tufunge na ndoa, sasa mimi sikuwa serious nae, akili yangu ilikuwa inamchukulia dada wa mjini tu, napiga MBUPU nasepa, akawa serious kabisa, uzuri mezani kwake ikaja hiyo deal ya kazi huko, akataka kugoma tufunge ndoa, nilidhani anatania au ananivutia maji marefu anigonge parefu, kumbe yuko serious, nilipogundua hilo sikumkawiza nikampa uhalisia(japo sikumwambia wazi kama simuelewi) nilimwambia tu hali yangu si anaiona, sasa asikatae hiyo dili ya akapige kazi, mimi huku navuta pumzi, akirudi nami nitakuwa fresh, hiyo ndoa itapenya, akaelewa somo akakubali, nilidhani utani, heee... Siku anakuja kunitwangia whatsapp naona namba ngeni kupokea yeye, yupo kwa kina ertugrul huko, basi fresh tukwa tunawasiliana, hapa kati nikaona uzinifu utanimaliza nae yule sikuwa namuamini kiviiile, nikavuta jiko, ila nilimueleza uhalisia, katoa go ahead, ila akirudi yeye ndoa iko pale pale.

Soon nitakuwa MUME WA WATU sio mume wa mtu tena. 😂
Lols
We si ulisema uliyenaye anatosha wewe? Jasiri haachi asili.. nlikwambia hata jana kwamba unatuzingua tu we ni me kama me wengine bwana
Sio yeye, ni watu wawili tofauti, mmoja ni wa south na mwingine ni uturuki, huyu wa uturuki kesi tofauti..
Huyu tulikutana mazingira fulani, akanielewa, kipindi hiko sina mtu, na protini zinataka kupasua vichupa, nikaona ndio pakuponea, kumbe yule yupo serious, halaf kipindi hiko nina majanga kama takataka, wala kiuchumi pia sikuwa sawa kabisa, ndani nina godoro na vitu vichache, mtu niliyekuwa naishi nae nilimtimua na kumpa kila kitu akaanze maisha.
So demu akafika mpaka kwangu, penzi likamnogea akataka ahamie kabisa, tufunge na ndoa, sasa mimi sikuwa serious nae, akili yangu ilikuwa inamchukulia dada wa mjini tu, napiga MBUPU nasepa, akawa serious kabisa, uzuri mezani kwake ikaja hiyo deal ya kazi huko, akataka kugoma tufunge ndoa, nilidhani anatania au ananivutia maji marefu anigonge parefu, kumbe yuko serious, nilipogundua hilo sikumkawiza nikampa uhalisia(japo sikumwambia wazi kama simuelewi) nilimwambia tu hali yangu si anaiona, sasa asikatae hiyo dili ya akapige kazi, mimi huku navuta pumzi, akirudi nami nitakuwa fresh, hiyo ndoa itapenya, akaelewa somo akakubali, nilidhani utani, heee... Siku anakuja kunitwangia whatsapp naona namba ngeni kupokea yeye, yupo kwa kina ertugrul huko, basi fresh tukwa tunawasiliana, hapa kati nikaona uzinifu utanimaliza nae yule sikuwa namuamini kiviiile, nikavuta jiko, ila nilimueleza uhalisia, katoa go ahead, ila akirudi yeye ndoa iko pale pale.

Soon nitakuwa MUME WA WATU sio mume wa mtu tena. 😂
 
Wanawake wengi mnaotaga ndoto za abu nuwas na aladin kwakweli, ni asilimia ngapi ya wanaume duniani wenye uwezo wa kumpandisha mwanamke kwenye private jet? Na chances za wewe kupendwa na kukutana na mwanaume iyo ni asilimia ngapi?

Yani ndoto zako wewe ni sawa na mimi ni-imagine kudate au kupewa papuchi na Rihanna au Ariana grande kitu ambacho ni impossible.

Ndo maana Kevin samuels kule YouTube anawaambia ukweli, kuna mdada wa kimarekani aliweka vigezo alisema anataka mwanaume mwenye kipato cha USD 400,000 kwa mwaka, wakati Marekani ni 1% ya watu ndoa wanaingiza hiyo hela
Nakadori
So tupambane na hawa hawa waliopo wa uwezo wa toyo sio
 
Lols
We si ulisema uliyenaye anatosha wewe? Jasiri haachi asili.. nlikwambia hata jana kwamba unatuzingua tu we ni me kama me wengine bwana
Jamani kwani sheria si inaruhusu mtu mbili mpaka 4 ndani ya track moja 🙄
 
Unataka kupetiwa kujaliwa je unayo bikra ?!! Nungaiyembe una libakuli katikati ya mapaja siajabu hata 0713 washatindua unataka kupetiwa. Wanawake wa kibongo mbuzi kweli.

Unataka kupetiwa je una chura, wewe ni mrefu, mweupe na chotara au lisura ka la baba yako afu unataka kupetiwa mbuzi wa kipare jinga sana.
Mkuu kunywa maji kwanza urelax
Vipi una rejesho nini?
 
Back
Top Bottom