Tena hapo amemueditNaomba picha yake
Ooh shukraniTena hapo amemuedit
Ila kama walivyosema wadau kwamba mwanamke mwenye chake anawekwa pahala pema kwenye pepo ya mwanaume ni sawa ....maana huyu mama naskia alishamsaidia sana van kipindi cha hustle wakat anaanza uigizajiView attachment 2123485
kwanza mwanamke ambaye hajachangia chochote yupo easy sana kwenye kutaka divorce ama kuitafuta maana hana anachopotezaWanaume washagundua kama wanawake wanakuja kwenye ndoa ili kutake advantage ya divorce mbeleni. Sasa ili kujilinda funga ndoa na anaechangia pato la familia pia. Ili divorce ikitokea usile hasara kubwa kwenye mgawanyo.
Tofauti na mwajuma ndala ndefu yeye anachangia kupanua mapaja tu na kwenye divorce anataka zaidi ya mapaja aliyochanua
Yani mwanamke akichoka na utafutaji akiwa gogo shida...akiwa anahangaika na mastaili pia shida[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini si kwaajili ya kukufurahisha wewe jamani, unapata hata wasaa wa kuconcetrate kwenye mambo yako ya kutafuta hela
Hawana jema hawaYani mwanamke akichoka na utafutaji akiwa gogo shida...akiwa anahangaika na mastaili pia shida
Duhh haya bwana
Ngoja tujiongezee thaman
Viker anamsifia sanaView attachment 2123487
This image says alot about how special this woman is. Anaonesha ni wale family women ambao wameanza deep on the roots na mwamba na still waka push support ya kutosha mpaka kufikia hapo walipo.
Yani mwanamke wa hivyo ukimzingua makusudi lazma mambo yakuharibikie tu[emoji28]
Una hasira na Ke dahhKmamamqe yaan hapa makamanda wengii tumekula sanaa Mizingaa...
Ng'onda mmoja arufu kama beberu nae anataka pasu kwa pasu kwenye Divorce mi nakulaza horizontal wazazi wako wakaweke matanga kwenu hukoo maninengaa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sasa si umeona support ilivyombeba kwa thamani huyu mwanamke😅! Imagine upo kwenye hustles anatokea demu with genuine feelings anaonesha interest tu na wewe na kukusaidia mambo yako yaende poa tu after some time inakujia kichwani unaona kwanini usimuoe tu kabisa maana ame play role kubwa kwenye mafanikio yako?Tena hapo amemuedit
Ila kama walivyosema wadau kwamba mwanamke mwenye chake anawekwa pahala pema kwenye pepo ya mwanaume ni sawa ....maana huyu mama naskia alishamsaidia sana van kipindi cha hustle wakat anaanza uigizajiView attachment 2123485
Unakuta mtu ana sura ya baba Afu anataka kupandishwa private jet. Inakuaje sasa hapo🤣🤣Utakula SanLG tu ya buku 5 ufike hotelini haraka
Kumbe nilikuwa sahihi 😅😅😅 sasa mjiongeze na nyie. Hizi za kujifanya njaa njaa utaishia kuonekana malaya tu na hutopata mtu wa maana.Viker anamsifia sana
Kila akiongea mafanikio yake lazima amtaje
Mhh wapo wanaume wamesaidiwa sana tu na wanawake na bado wanawatosa wakifika juu..Sasa si umeona support ilivyombeba kwa thamani huyu mwanamke😅! Imagine upo kwenye hustles anatokea demu with genuine feelings anaonesha interest tu na wewe na kukusaidia mambo yako yaende poa tu after some time inakujia kichwani unaona kwanini usimuoe tu kabisa maana ame play role kubwa kwenye mafanikio yako?
Sura ya baba si umemchagua mwenyewe lakini...umeenda kwa miguu yako kutoa mahariUnakuta mtu ana sura ya baba Afu anataka kupandishwa private jet. Inakuaje sasa hapo[emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂😂😂 anatakiwa ajiongeze tu maana hamna hata mwenye habari nae huko road. Ila pisi kama hio pichani ukiipandisha boda boda jiandae kuchapiwa tu na washuaUnakuta mtu ana sura ya baba Afu anataka kupandishwa private jet. Inakuaje sasa hapo🤣🤣