Huyu sasa ndio ameolewa, wengine mnasindikiza

Tatizo nyota mwenzangu na mimi una nyota ya kinyonga utatembea mpaka uote vigimbi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo kwa perspective yangu naona halina tatizo as long as umetoa sababu ya msingi tu inayopelekea hilo. Yamkini uko tight on budget ila kama huwa unajilipia flight mwenyewe siku zingine hilo haliwezi kuwa tatizo kabisa.

Tena huenda ndio tukaamua tu kulipia ticket yote. Yani as long as first impressions haukuleta pigo za njaa njaa unakuwa on safe zone.

Mbaya ni ile on first date hata hamjazoeana unaanza kuleta swagger za Gold digging na kutaka kumfuja mjuba yani mnajiharibiaga sana.
No matter what mjifunze kuhudumia wake zenu bila kujali wao wanafanya nini, msipofanya hivo ntasaidiwa kufanya hivo.
Kwa mguu huo kwa nini mwanaume asikukatie tiketi ya ndege bwana
Ataikata tu wewe subiri😂😂😂
 
Hahahahahah

kwanza mwanamke ambaye hajachangia chochote yupo easy sana kwenye kutaka divorce ama kuitafuta maana hana anachopoteza
Naunga mkono hoja, mwanamke nilazima achangie kipato katika familia hii humuongezea concentration na seriousness ya familia anayoijenga mmewe,hawa wanawake wanaokaa Tu nakusubiria ertugal sijui kulfi,nihatari zaidi Kwa ustawi wafamilia wakuu!
 
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.

Sasa wanaume wetu hawa akina fundi Juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.

Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.

View attachment 2123470
Sio kila mwanaume ana utajiri wa kiasi hicho kuna wengine hawana hata shilling Mia mfukoni halafu wewe wamkodie mpenzi wake private jets sio kitu kirahisi hicho nakuhakikishia
 
Hahahahahahha kweli lazma kuna namna[emoji28]!
Mwanamke unamtengeneza ni sawa kabisa sema awe na rich mindset hata kama hana sio hawa waganga njaa ambaye mda wote anawaza kuhudumiwa. Hajiongezi yani kabisa hata kuonesha she is trying kupambana na hali!
Nikweli mkuu,ujue kuna wadada wao kindest zao kisa anakikojoleo basi huamini niwakuhudumiwa name daima,hasa tudada au wanawake wakusini wameharibikiwa nahizo mindset nadhani jamii husika imechangia kuharibu watoto wakike Kua wao niwakuolewa Tu,akiachika anarudi tena home kwao,kumsubiria muhisani mwingine ajitokeze,amuoe yaani,pahala kwingine ndoa ni ajira
 
Ndoa ni kama ajira kwao ila kimsingi pia huwa hawaridhiki na boss mmoja sikuhizi na ndipo wanapokera. Ameolewa na Total ila anagawa shea ya penzi Oryx, Lake Oil, Puma n.k
 
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.

Sasa wanaume wetu hawa akina fundi Juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.

Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.

View attachment 2123470
Sikieni hili wajameni
 
No matter what mjifunze kuhudumia wake zenu bila kujali wao wanafanya nini, msipofanya hivo ntasaidiwa kufanya hivo.

Ataikata tu wewe subiri[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida nilioiona APA ni ulemavu wa kifikra na mkiendelea ivi wengi wenu mtaishia kuitwa single maza na km mtaolewa basi na kina mwamed au mudi na sio moo, kwa ushauri wa bure jifunzeni kuset standards then pay ur own bills na ukiwa out changia kila kitu na mnunulie mwanaume wako zawad anapoyumba mkopeshe then after njoo unishukuru.
Cku iz ubinafsi wenu wanawake unatukimbiza sana mwanamke selfish afai kua mke kabisa jirekebisheni na acheni miterezo inawaharibia CV.
 
Huwezi nifundisha hii kitu , kuhusu single mather hiki ndo kitu nachukia sana. Mimi najua majukumu yangu, bills zangu zote nalipa mwenyewe hadi kod nalipa 1.8. Kuhusu ndoa ni majaliwa ya mungu, kuhusu kuzaa na mme mwa mtu ikitokea nazaa na mwanaume wa maana ambae ana uwezo wa kumpeleka mwanae international school.

Usinitishe mimi ni mdada wa kawaida nilizaliwa vijijini ila nina standard zangu.najitambua.hata humu nilishadate mtu ana hadhi yake akipita hapa lazima acheke.😂 Msione tunaandika humu mkajua hatujulikani. Tunajulikana sana.afu mimi nishakuwa mtu mzima nadate wazima wenzangu sio hao watoto walomaliza vyuo.
 
Wanawake bhana mnaotaga ndoto za abu nuwas, mwanaume wa kukusomeshea mwanao international school umpate wapi luckyline
 
Back
Top Bottom