Sura personal =ng'ong'ozo 🤣🤣🤣🤣Daaaah hii comment imenifanya nicheke kwa loud speaker 🤣🤣🤣
Kwahiyo sisi wenye sura personal tuendelee tu kupandishwa boda boda au siyo!
Bwana wee ata sie wanaume ambao hatuna hela tungetamani kuwagegeda wakina paula lakini ndio hivyo tena.
Kila mtu akubaliane na reality yake. Ukiwa na sura na tako utapanda private jet. Kama huna tako wa sura basi subiria teuzi.