Huyu sasa ndio ameolewa, wengine mnasindikiza

Huyu sasa ndio ameolewa, wengine mnasindikiza

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,779
Reaction score
21,061
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.

Sasa wanaume wetu hawa akina fundi Juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.

Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.

buzzroomkenya~p~CaIThU8IL2X~1.jpg
 
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa..yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu ..mda wa safari anamwambia hapana uende na private jet...! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.
Sasa wanaume wetu hawa akina fundi juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.
Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee
Nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.View attachment 2123470
Huyu anasatahili private ticket lakini au we humuoni?😅

On top of that ana guts za kujilipia mwenyewe ticket bila kusumbua. Kupewa private wing thats a bonus tu kwa mwanamke anaejielewa cause she deserves that treat.
 
Kitu OG kutoka mbeya halafu upandishwe private jet

Kuna miss nigeria wa zamani mmoja ana maneno machafu sana. Anaambiwaga anatumia hela za mumewe vibaya kwa vacations ambaye ni Mchezaji mpira ulaya. Anawaambia na nyinyi nendeni mkashinde miss nigeria kwanza kama ni wazuri kama yeye na then mtongozwe na mtu level ya mume wangu. Muone kama ni rahisi
 
Kwa hiyo akina saumu ndala chafu hawastahili hata uber kwakuwa hawajiwezi??
Sifa ya kuwa mwanamke expensive unayestahili treats ni lazima uwe unaweza ku clear bills zako bila kusumbua hilo la kwanza.

Then baada ya hapo tutaendelea ku retain value yako bila pressure 😅 you don’t have to mention it. We on service 24/7 lazma ule apple tu.

Akina mwajuma ndala ndefu kuja on date tu lazma utangulize elf 50 ya nauli. Humo akabandike kucha na kusuka ndio aje kwako. Humo hamna kitu lazma tukereke tu😅
 
Je wewe una vigezo ama urembo alionao

Isije kuwa yale yale ya k lyn na mengi. Huku wanasahau k lyn alikuwa Miss Tanzania kipind cha ushindani mkali kama added advantage.. na sio wanawake wote wana hiyo cv
Ukishashakubali kunioa maana yake ni kwamba nimekuridhisha, hupaswi kunipa mapenzi nusu eti kwa sababu sifanani na Klyn. Nina haki ya kupewa treatment anazopewa mwanamke mwingine yeyote hata kama nikiwa Asha Boko as long as una uwezo wa kufanya hivyo
 
Sifa ya kuwa mwanamke expensive unayestahili treats ni lazima uwe unaweza ku clear bills zako bila kusumbua hilo la kwanza.

Then baada ya hapo tutaendelea ku retain value yako bila pressure 😅 you don’t have to mention it. We on service 24/7 lazma ule apple tu.

Akina mwajuma ndala ndefu kuja on date tu lazma utangulize elf 50 ya nauli. Humo akabandike kucha na kusuka ndio aje kwako. Humo hamna kitu lazma tukereke tu😅
Hapa umenipa somo
Wadada upgrade value zenu 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom