Huyu sasa ndio ameolewa, wengine mnasindikiza

Huyu sasa ndio ameolewa, wengine mnasindikiza

Mume Ana mchango mkubwa kwenye hizo business
Mbona tunajitahidi sana kuwafungulia biashara angalau mjibebe kiasi mpunguze utegemezi lakini mnakula mitaji na biashara mnafunga
Sasa huyo aliyesaidiwa na akamudu kuendesha biashara yake anastahili bonus.

Mwenyenacho huongezewa!!

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Huyu anasatahili private ticket lakini au we humuoni?[emoji28]

On top of that ana guts za kujilipia mwenyewe ticket bila kusumbua. Kupewa private wing thats a bonus tu kwa mwanamke anaejielewa cause she deserves that treat.
Ila bado ishu ya kumkodia private jet ni suala kubwa mno, unless kuna some good behaviours she has done recently, So you reward that way.
Ila kwa upande wa pili wa shilingi it seems that nigga is a Simp, has no respect for himself.
 
Hahahah that mofoq has bitch dependency
 
Ndoa ni kama ajira kwao ila kimsingi pia huwa hawaridhiki na boss mmoja sikuhizi na ndipo wanapokera. Ameolewa na Total ila anagawa shea ya penzi Oryx, Lake Oil, Puma n.k
Aaahaah hatari yaani Pattern zinajitafuta zenyewe, some women cheat on every nigga. So how to ruin your future ? Simple, just ignore your woman's background.
 
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.

Sasa wanaume wetu hawa akina fundi Juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.

Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.

View attachment 2123470
Material world gold diggers wanawake wa kiafrikq kusubiri kupewa tu mmedai ruksa ya kusoma kuajiriwa na kufanya biashara bado mnasubiri kupewa tu kizazi cha wadangaji, nendeni na nyie mkampe ngono awasafirishe ktk pribate jets mapenzi biashara sasa ombeni leseni mlipe kodi
 
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.

Sasa wanaume wetu hawa akina fundi Juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.

Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.

View attachment 2123470
Ni kawaida, tunafanya hivyo kwa michepuko yenye VIWANGO.
 
Pole sana mkuu...Mungu tu ndo anawajua wanawake.waliobaki we just gamble.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu usawa utaupata peponi tu! Duniani ni vita tu mpaka tuumalize mwendo. Yani unalazimisha kabisa na shepu yako ya gunia[emoji28]

Utashangazwa sana na mchepuko wa mumeo[emoji1787]
Oyaaaaaaa [emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16]
 
Wanaume washagundua kama wanawake wanakuja kwenye ndoa ili kutake advantage ya divorce mbeleni. Sasa ili kujilinda funga ndoa na anaechangia pato la familia pia. Ili divorce ikitokea usile hasara kubwa kwenye mgawanyo.

Tofauti na mwajuma ndala ndefu yeye anachangia kupanua mapaja tu na kwenye divorce anataka zaidi ya mapaja aliyochanua
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
No matter what mjifunze kuhudumia wake zenu bila kujali wao wanafanya nini, msipofanya hivo ntasaidiwa kufanya hivo.

Ataikata tu wewe subiri[emoji23][emoji23][emoji23]
There is nothing wrong with kuhudumia.Kikubwa kila mwanaume ahudumie kulingana na uwezo wake. Wanaume tunajua kuhudumia familia zetu ni wajibu na sio suala la kujiskia tu
 
Huwezi nifundisha hii kitu , kuhusu single mather hiki ndo kitu nachukia sana. Mimi najua majukumu yangu, bills zangu zote nalipa mwenyewe hadi kod nalipa 1.8. Kuhusu ndoa ni majaliwa ya mungu, kuhusu kuzaa na mme mwa mtu ikitokea nazaa na mwanaume wa maana ambae ana uwezo wa kumpeleka mwanae international school.

Usinitishe mimi ni mdada wa kawaida nilizaliwa vijijini ila nina standard zangu.najitambua.hata humu nilishadate mtu ana hadhi yake akipita hapa lazima acheke.😂 Msione tunaandika humu mkajua hatujulikani. Tunajulikana sana.afu mimi nishakuwa mtu mzima nadate wazima wenzangu sio hao watoto walomaliza vyuo.
"Unadate na wazima wenzako" (wa - yani wengi) ***** pole kwa wanaume wenzangu afu kuna mwanaume atakuja oa hii kopo sperm bank, sperm collector.
 
Back
Top Bottom