Huyu sasa ndio ameolewa, wengine mnasindikiza

Huyu sasa ndio ameolewa, wengine mnasindikiza

Fedha ni manukato ya mapenzi, umasikini wetu mbaya saana, atatokea kapuku kama mimi atasema, "unamkodia private jet kumbe anaenda to_mbwa na mwingine" bro huo ni ufukara wetu tutafute pesa, hata huyu uliyemfungulia banda la mkaa anaweza akaigawa ama asiigawe
Acha mawazo hayo
 
Kwa wale walio nacho bwana..
Halafu wewe hapo hata ukiombwa hela ya boda au vocha unamuita gold digger kweli??
Sasa ninyi hamjali hali ya uchumi wa mtu wakati mwingine unajua kabisa tunamipango flani na hali ya uchumi ni mbaya.
 
And they always cheat! Mwanamke always anaitaji asichopewa, sasa kutaka kumfurahisha Ni Sawa na kujibu hili swali "kati ya Kuku na Yai kipi kilitangulia"

Ili umjue mwanamke vizuri Sana Lazima uwe umekufa!
Ukiwaza kwamba ata cheat basi hutakaa ufanye naye kitu
 
Wanawake wengi wanashindwa kuitanguliza status yake kwanza, hapo ndio wadangaji weengi wanafeli, hawana mipango kabisa, kuna goma langu moja nishawahi lipa elimu ya hii kitu mpaka kesho ananishukuru, sasa yupo kwa madiba, hapa ana mijengo miwili ya maana hana tabu, nilimwambia "uzuri wako ndio mtaji wako, umeamua kudanga, weka thamani yako katika level fulani, wazuri wanagapi wanatafunwa na sisi kina pangu pakavu, mfano wewe zaidi ya kufata ukuni kwangu unapata nini cha maana" the rest is history.
Kumbe unafunda pia
 
Sasa mwanamke anajilipia mwenyewe ticket ya ndege kwa shughuli zake
Hata kama ni mimi sina uwezo wa private jet namuongezea tu akae hata first class
 
Kijamii ni mume anatakiwa amtunze mkewe ila kimantiki mwenye uwezo kati ya hao anaweza pia kutunza kama anakipato kikubwa mfano wasanii wa kike wakubwa kama ilivyokuwa kwa Madona
Bakini kwenye jamii inavyowataka muwe. Timizeni wajibu mengine mnayoyaona yatabaki kuwa historia.
 
Kwani na sie tuliomba tuwe maskini...mnavyotuonaga kama manyani vile tukiwa hatuna mihela
Heheh kumbe ni hasira za kukosa helaa jaman mzabzab
Utapata nyingi hadi uzichoke ila ukipata usisahau kumpandisha mkeo PJ
 
Regina zari limemdondokea tu... tukiongelea uzuri wengi wamemuacha mbali sana.
Sema ndo ivyo Bahati inaendesha maisha yetu
Yeah bahati mama
Huyu hata mama yake alisimama imara kuhakikisha binti anakuwa hapo..
Kuna kipindi mumewe alicheat weee bi mkubwa wake alitoa kichambo kwa huyo mchepuko live
 
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.

Sasa wanaume wetu hawa akina fundi Juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.

Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.

View attachment 2123470

Tangazo la Umalaya tu hili hakuna Jipya
 
Sasa mwanamke anajilipia mwenyewe ticket ya ndege kwa shughuli zake
Hata kama ni mimi sina uwezo wa private jet namuongezea tu akae hata first class
Mume Ana mchango mkubwa kwenye hizo business
 
Em picha yako halisi tuone tatizo n nini hadi usifaidi maisha ya kupetipetiwa
 
Back
Top Bottom