Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,061
- Thread starter
- #81
Yote hayo ni katika barakati zenu za kupinga kuombwa nauli 😂😂Kumbe nilikuwa sahihi 😅😅😅 sasa mjiongeze na nyie. Hizi za kujifanya njaa njaa utaishia kuonekana malaya tu na hutopata mtu wa maana.
Chama cha waomba nauli kitaacha huo mchezo