Heheh kwa hyo ulimshauri kudanga then anarudi umuoe mke wa 2Nikikuona unaelekea nakupa michakato, huyu demu alikuwa ananielewa kichizi, mimi moyoni sina malovee kihivyo, najipigia tu, sina kitu naruka yaani ye hana tabu na mimi, yaani alikuwa ananifanya njia kuu ila ana madanga pembeni, sasa namshangaa huyu mbona anadanga kwa wenye njaa, ndio nikampangilia mistari, akakubali, viwanja vya kijanja nikampeleka, nampa mawili ma3, mbona fasta tu akachange, sasa nimemueleza nimeoa, nimebadilika wala haamini, soon kaniambia anakuja, aje kuona nimebadilikaje.
Sio huyo tu, mwingine yupo uturuki saa hizi, amesema akirudi (mwezi wa 4-5)hataki la muadhini wala mnadi swala yeye anataka ndoa(mke wa pili) kiroho saafi, hapa nasikilizia, nianze kuishi kwa tabu. [emoji23]
Tena kila mwaka akienda kwao na wanae lazima aende kwa ndege kwakuwa uwezo anaoBaba yako alishawahi kumbookia mama yako ndege?! Usipende mambo makubwa ambayo hata baba yako asingeweza mudu kukufanyia halafu wewe uje utegemee mtoto wa mwanamke mwenzio akufanyie.
Tamaa mbaya sana. Hayo macho uliyotumia kuona hiyo habari hebu nenda kafungue Bible usome kitabu cha Mithali ukifunze mambo ya hekima uondokane na akili ya matamaa ya hovyo hovyo.
Pole mkuuNishakaa na Mwanamke Kwa miaka 5 hata simu sigusi, namwamin, anapata kila kitu, Gari, mafuta, simu matoleo mapya, mshahara wake siujui.
Bila kuchunguza wala kuwaza taarifa Za ku cheat zikanifikia na nikathibitisha! Ni mwaka wa 10 huu, hata maumivu hayajaisha, namwangalia tu na watoto wangu 4 nakuwa mpole!
I, John Will never bank on a woman, maisha yangu yote, nilijaribu Sana kutafuta Wapi nimekosea, mpaka Kwa marafiki zangu, Hakuna!
Niwahi nyumbani, situmii pombe, unajua Rena Dar, utoke posta mpaka Mbweni, lakini unawahi familia home, but everything in vain!
Swali langu kubwa: Who knows a woman, but have just discovered; Ni Mungu tu muumbaji, na mtu aliyekufa Kwa sababu ya madhila ya mwanamke!
Mnacho sahau watu wenye ela dunian wachache.Ila nyny wanawake weng hivy c kila mwanaume atawez kkufanyia hivyoHuyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.
Sasa wanaume wetu hawa akina fundi Juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.
Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.
View attachment 2123470
😁😁😁 wa kwanza umesahau tunawaza rangi ya mtume, na kushape umbo 😁.Golddigger akiamka akili yake inawaza nani ampige kizinga cha Wig, Nailshop, Hoteli kali ya kula lunch na kumalizia siku kwa kujipost akinywa wine na fries like she has made it in life! Giza likiingia aite bolt arudi kwa Mnyamani akalale! Huyu kuja maeneo ya machinjioni lazma akutie spoku kwanza.
Af kuna wale akiamka anawaza leo akazungushe wapi biashara yake ya mafuta ya kupikia. Ni migahawa gani akienda likely anaweza pata tender ya ku supply? Huyu wa hivi licha ya uzuri ila hizi 10-30K zinakuwa hazimpi tabu. Ukimuita mahali haanzi kuomba nauli 😅 sababu anamudu vi cost vidogo dogo. Huyu wa hivi akionekana na watu serious wanaotafta wanawake wa kuoa huwa ana chance ya 99% kubebwa fasta.
Hahahahahah mtaendelea kukandwa mpaka Yesu arudi😁😁😁 wa kwanza umesahau tunawaza rangi ya mtume, na kushape umbo 😁.
ila hawa wa pili mara nyingi wana uso mkavu kama mama spika pale, ajabu ndo hamuwaoni.
Sahii kabisa,Sifa ya kuwa mwanamke expensive unayestahili treats ni lazima uwe unaweza ku clear bills zako bila kusumbua hilo la kwanza.
Then baada ya hapo tutaendelea ku retain value yako bila pressure [emoji28] you don’t have to mention it. We on service 24/7 lazma ule apple tu.
Akina mwajuma ndala ndefu kuja on date tu lazma utangulize elf 50 ya nauli. Humo akabandike kucha na kusuka ndio aje kwako. Humo hamna kitu lazma tukereke tu[emoji28]
Acha visingizio toa hela kenge wewe[emoji1787][emoji1787]Hahahahahahha kweli lazma kuna namna[emoji28]!
Mwanamke unamtengeneza ni sawa kabisa sema awe na rich mindset hata kama hana sio hawa waganga njaa ambaye mda wote anawaza kuhudumiwa. Hajiongezi yani kabisa hata kuonesha she is trying kupambana na hali!
Kwanini usianze kutoa wewe? Kwani utazikwa nazoAcha visingizio toa hela kenge wewe[emoji1787][emoji1787]
Hutozikwa nazo ujue?
Mie sina.Kwanini usianze kutoa wewe? Kwani utazikwa nazo
Pole sana mkuu hao watu ni kuwaendesha kiaskari tu😅Nishakaa na Mwanamke Kwa miaka 5 hata simu sigusi, namwamin, anapata kila kitu, Gari, mafuta, simu matoleo mapya, mshahara wake siujui.
Bila kuchunguza wala kuwaza taarifa Za ku cheat zikanifikia na nikathibitisha! Ni mwaka wa 10 huu, hata maumivu hayajaisha, namwangalia tu na watoto wangu 4 nakuwa mpole!
I, John Will never bank on a woman, maisha yangu yote, nilijaribu Sana kutafuta Wapi nimekosea, mpaka Kwa marafiki zangu, Hakuna!
Niwahi nyumbani, situmii pombe, unajua Rena Dar, utoke posta mpaka Mbweni, lakini unawahi familia home, but everything in vain!
Swali langu kubwa: Who knows a woman, but have just discovered; Ni Mungu tu muumbaji, na mtu aliyekufa Kwa sababu ya madhila ya mwanamke!
Kumbe huna, nini chakupa uhalali wa kuhisi mie ninacho😂 kama wewe una mbususu tu!Mie sina.
Pesa zenu ni zetu.Kumbe huna, nini chakupa uhalali wa kuhisi mie ninacho[emoji23] kama wewe una mbususu tu!