Huyu sasa ndio ameolewa, wengine mnasindikiza

Je kama binafsi ninaweza kujikatia kiketi ya ndege kwenda dar, (na nilishafanyaga hivyo huu ndo ukweli) lakini siku nyingine nikataka nitoe nusu na mwanaume huyo ninaemfata atoe nusu hiyo imekaaje?

Jibu naomba liwe katika mazingira ya kibongo, achana na hao ma selebrity .
Hilo kwa perspective yangu naona halina tatizo as long as umetoa sababu ya msingi tu inayopelekea hilo. Yamkini uko tight on budget ila kama huwa unajilipia flight mwenyewe siku zingine hilo haliwezi kuwa tatizo kabisa.

Tena huenda ndio tukaamua tu kulipia ticket yote. Yani as long as first impressions haukuleta pigo za njaa njaa unakuwa on safe zone.

Mbaya ni ile on first date hata hamjazoeana unaanza kuleta swagger za Gold digging na kutaka kumfuja mjuba yani mnajiharibiaga sana.
 
No matter what mjifunze kuhudumia wake zenu bila kujali wao wanafanya nini, msipofanya hivo mtasaidiwa kufanya hivo.
 
Je kama binafsi ninaweza kujikatia kiketi ya ndege kwenda dar, (na nilishafanyaga hivyo huu ndo ukweli) lakini siku nyingine nikataka nitoe nusu na mwanaume huyo ninaemfata atoe nusu hiyo imekaaje?

Jibu naomba liwe katika mazingira ya kibongo, achana na hao ma selebrity .
Kwa mguu huo kwa nini mwanaume asikukatie tiketi ya ndege bwana
 
No matter what mjifunze kuhudumia wake zenu bila kujali wao wanafanya nini, msipofanya hivo mtasaidiwa kufanya hivo.
Kumhudumia mke ni swala moja na gold digging ni swala jengine. Mke anahudumiwa akijiweka katika nafasi yake kikamilifu wala hakunaga kelele.

Hawara ndio tunayemzungumzia hapa ambaye hana vigezo vya mke ama sio mke. Wengi wanatakaga wapewe treatment za wake wakati sio wake zetu. Ubaya zaidi watakupangeni foleni mtu 6 wote mnakamuliwa muhudumie😅
 
Kama mtu ame book tiketi mwenyewe huoni tu kuwa alistahili kuzaidiwa kikubwa zaid mbona kidogo ameweza kukifanya mwenyewe.
Tatizo lenu nyinyi ni kutaka kupewa kila kitu.
 
Lakini siku zote mtu anapata mke au mume kutoka na status yake na class huku anavyojiweka ukijiweka kiexpensive utapata aliyeexpensive na ukijiweka cheap utapata aliyecheap na hayo yote yanatokana na uzuri wako elimu yako kipato chako na kipaji chako hivyo hakuna binadam aliyekuwa mbaya kinachotufautisha ni hiyo class niliyoisema maana ukisema mwanamke yule mbaya utakuta kuna jamaa linamvukuzia na linampenda kweli
Kinachonishangaa katika mapenz kwanini wanawake lazima mpewe pesa hata kama unafanya kazi au hii ni formula mpya utakuta mdada mzuri ana mshahara mzuri lkn ukiwa nae ktk uhusiiano lazm umpe hela hata kama unafanya nae kazi hela zenu mnapeleka wapi au mnanunulia majini ya kina maimuna na subihani
 
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet!

Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.

Sasa wanaume wetu hawa akina fundi juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.

Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.

View attachment 2123470
Mtoto WA mwaka 2000 kaolewa akiwa bikira. She deserves.

# kuhusu Hela kama kuwa Na Hela ndio kipimo cha uanaume basi baba ako mzazi Na yeye sio mwanaume maana angekuwa nazo Wala usinge kuja kulalamika hapa
 
Hii pisi kwa mwanamke wangu ataingia mara mbili...... Tofauti ni kwamba mimi huwa namkodishia bajaji
 
Je una thamani ya kupanda Private jet?

Muda mwingine mnayoyataka yawe proportional na value zenu.sio wewe Ni wa kupanda Guta unataka upande G-WAGON
Ina maana wewe mpaka unaoa si umempenda? Why usimpe treatment za maana?
 
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet!

Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.

Sasa wanaume wetu hawa akina fundi juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.

Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.

View attachment 2123470
Wanawake mnamatatizo sana ni namna gani naweza mpatia mtu kitu sina? Sio kila kinachoonekana kinaweza patikana kwa kila mtu tuheshimu madaraja
 
Weupe, tabia, kujituma kwake, heshima kwa mume lazima aneemeke
Mhh ingekuwa swala la heshima, tabia, kujituma na uzuri ndo kigezo basi bibi yengu asingekodiwa basi angenunuliwa PJ yake kabisa.
Kubalini kuna mahali mnakwama kwenye swala zima la kuwapenda wake zenu
 
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet!

Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.

Sasa wanaume wetu hawa akina fundi juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.

Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.

View attachment 2123470
Kwahiyo ndio umeamua kutudhalilisha,mtuvumilie tu hatuna jinsi...
 
Wewe kigezo chako ni chura peke yake au na madili kama huyu?

Kwanza yeye alifanya booking ya ndege na kulipia kwa hela yake. Gharama aliyoimudu sasa nyie wenzetu hamna dili yoyote unataka kila kitu mwanaume akufanyie matokeo yake mume akifa, mke anaishia kuwa omba omba na mdangaji, familia inayumba.

Dada zetu, dunia ya leo mkiwekeza kwenye makalio ya kichina mtachakatwa ngozi sana na bado hutoki kimaisha.
Biashara yenyewe ya RD ni mtaji alipewa na huyo mwanaume.
Watengenezeni wanawake wawe na class mnayoitaka msitafute kichaka cha kujificha
 
Mhh ingekuwa swala la heshima, tabia, kujituma na uzuri ndo kigezo basi bibi yengu asingekodiwa basi angenunuliwa PJ yake kabisa.
Kubalini kuna mahali mnakwama kwenye swala zima la kuwapenda wake zenu
Bibi yako ana mapungufu yake pia
 
Atavhakaa vipi wakati anapamada private jet wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu wewe Leo kama umelewaaa
Yani una comment off point kabisa.. sasa nchi hii kati ya wanawake walioolewa na wasioolewa ni akina nani wamechakaa?
 
Back
Top Bottom