Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Tofautisha kati ya KEJELI na UKWELI kama aliongea aliyosema mtoa mada basi ile ni Kejeli na sio UkweliHapo hakuna tusi zaidi ya ukweli.
Tatizo Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli.
Najua umechukualia hayo maneno kama yalivyo ila nakushauri kaa chini utafakari yeye alimaanish nini.
*ZINGATIA*
kama ww ni mwanaume ulivaa johona bado upo nyumban.
Believe me my braza
lile ni dera.
na bado upo nyumban.