Huyu Presenter wa Clouds hana maadili

Huyu Presenter wa Clouds hana maadili

Clouds fm ni station ya kipumbavu I can say that, kuna mtangazaji nimemsikia anawadhihaki vijana wetu eti kama ulivaa joho na mpka leo hujapata kazi basi hilo lilikuwa dela, msilete masihara wakati vijana wetu wako mtaani na hawana ajira, huna ethics za utangazaji mpuuzi sana siyo kauli za kuongea kwenye media.

hawa nao wanatafuta kiki,.....tushaamia radio nyingine washatuchosha kwanza
 
Je kama angesikia kuwa wanasema kuwa baba yake na mama yake walikuwa wakiingia chumbani kwao mchana kucheza mchezo wa kumtafuta yeye angeirusha hewani?
Mkuu mbona povu jingi sana,kwani hiyo sms wewe hujakumbana nayo kwenye WhatsApp jana?
 
Kwa maana nyingine mtoto wa kiume kama umemaliza chuo na bado unakaa nyumbani bila kazi yeyote ya maana ukiwa unasubiri ajira basi wewe hamnazo.
jamani msiseme tu hivyo, fikirieni kuna watu wengi tu wametoka familia duni sana na kujiajili kunahitaji mtaji asikudanganye mtu hata kama una ujuzi kichwani, na nyie mliobahatika aidha wengine kwa nafasi za baba na mama zenu msiwazihaki wenzenu. Niliacha kazi miaka mnne iliyopita na kujiajili kutoka na taaluma yangu najua changamoto za kujiajili,
 
Clouds fm ni station ya kipumbavu I can say that, kuna mtangazaji nimemsikia anawadhihaki vijana wetu eti kama ulivaa joho na mpka leo hujapata kazi basi hilo lilikuwa dela, msilete masihara wakati vijana wetu wako mtaani na hawana ajira, huna ethics za utangazaji mpuuzi sana siyo kauli za kuongea kwenye media.
Nikweli si haki kwa chombo cha habari kufanya dhihaka vile. Maadili hakuna
 
Lakini msiwalaumu watangazaji wa clouds waliowengi shule hawana hata ilo joo hawajawai kulishika. Wanaliona kwenye Tv. Clouds wanaamini kwenye vipaji na si elimu. Wengi ni form four. Wakulaumiwa ni boss wao.
Ni bora mara mia ulione joho kwenye Tv halafu uwe na kazi unayotegemea kipaji kama Mzee Majuto kuliko uvae joho alafu huna kazi unalialia unataka uajiriwe
 
Mkuu mbona povu jingi sana,kwani hiyo sms wewe hujakumbana nayo kwenye WhatsApp jana?

Haya na wewe ungekumbana na sms inayosema 'najua wanachofanya baba yake na mama yake youngblood wakiingia chumbani usiku' halafu ungekuwa presenter ungetangaza redioni? Povu jingi kwa vile nimelamba sabuni ya unga kwani kile kitu cha chumvi ya dada ko nilichokula jana usiku full kukereketa ulimini
 
Basi cheichei
 
Ukiamua kufuatilia mstari mmoja mmoja nadhani hata kwenye Biblia/Quran utaona mapungufu mengi tu. Acha wenye midomo yao waseme maana midomo ni mali zao, kama wao hawatakumbwa basi kuna ndugu zao watapatwa na kadhia hii madam uzima twaomba kwa Mungu. Wahenga wasema Ukipata usimdharau aliyekosa! Clinton shahidi kwa hili
 
Back
Top Bottom