Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Hamna lolote, LVG alikuwa msanii tu kwanza hata timu ifanye vibaya yeye alikuwa hanyanyuki kwenye kiti chake, alibaki kuandika andika tu na ndio maana timu ilifika kubaya sana na ikafkia kipindi tukaomba kocha mkali asiyechekacheka na ndo tunaye sasa,kilichobaki ni tumuunge mkono tu.
Mkuu huyu Kocha pamoja na kumuunga mikono mpaka miguu bado matokeo yamekuwa sifuri ,au hakuna namna ya kufanya sub ?