Huyu Pogba wetu ni hasara tu

Huyu Pogba wetu ni hasara tu

Teh Mourihno nae alaumiwe... Na bodi nzima ya mashetani wekundu
huwezi kumlaumu mourihno,mourihno alikuwa na mchezaji wake aliyetaka kumsajili lakini akapima upepo akaona mchezaji aliyemtaka hakubaliki na mashabiki,waliona uwezo wake ulikuwa mdogo kuliko wa maforward wa timu zingine
 
Pogba kaelekea Chuo kikuu huria kenda kujionea vipaji vipya, ajabu kabana matumizi kwa kutumia gari kama 20 hivi
 
Back
Top Bottom