Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,635
Mkuu,msalimie mtume!ahahaha!kumbe ndio maana tulipoteza mechi na [HASHTAG]#Arsenane[/HASHTAG]...Pogba wetu hafai kua nahodha,hafai kua golkiper,hafai kua forward namba moja tatizo hajui fomeshen ya pale magogoni,kama ni 4-4-2 au ni 3-5-2,mchezaji hachagui kocha bali kocha ndie anachagu mchezaji,pogba wetu nani kamruhusu achague kocha???
A
