Ha ha ha ha .........timu imedorora wallah......
.....kweli ila hii ya sasa kama ya tukuyu star
Kamati ya usajili imetuangusha, Pogba hajapiga hata shuti moja kuelekea langoni.......Kwanini apewe miaka miwili wakati ana uzoefu wa ligi? Angekua ni chipukizi tungekuelewa. Lakini uyu alikua kwenye kikosi bora cha FIFA cha msimu uliopita na kacheza mechi nyingi sana za kwenye ligi.
.....Pogba sasa hivi ananadi manywele yake meupe huko kongwa na Chemba. Hivi kwa huu upuuzi wake tutapata faida naye?
Sahihi kabisa maana hali sio nzuri......
,.....Mkuu tunaongea kichina ili tujimwage vizuri maada imeeleweka.....
Hujauelewa uzi mkuu..tuliza munkari usome vizuri
Lawama za nini wakati mmempa namba siyo yake? Yeye ni defender ninyi mnampanga kuwa striker. Wapi na wapi? Ndio maana mara nyingi akifika golini anapiga mipira njePogba anauwa timu mchana kweupe