Dume la Nyani
Member
- Apr 14, 2011
- 37
- 8
kama wasipoiba kura rais atakuwa DK PETER WILBROD SLAA....
Ndiyo shida ya magamba hiyo. Mwingine alijiandaa kwa miaka kumi kuwa rais lakini hakuwa na dira hakuwa na vision. Matokeo yake ndiyo tunayaona leo. Badala ya kujiuliza nani atakuwa rais tujiulize tunataka Tanzania ya aina gani na baada ya hapo ndipo tutafute ni nani anayefaa kutufikisha huko.Katika uchaguzi wa mwaka 1995, mwalimu Nyerere alisema kabla ua mchakato wa kumpata mgombea wa CCM kuwa majina si muhimu. Akaendelea kusema kwamba cha kwanza ni kuangalia kama taifa tuta taka kwenda wapi, kisha tuangalie ni kiongozi mwenye sifa zipi anaweza kutufikisha hapo. tukisha jua tumataka kwenda wapi na ni mtu wa aina gani ata tufikisha ndiyo tuanze kuangalia katika hao walio jitoteza kugombea ni yupi mwenye nyingi ya siga hizo? Sasa hatujawa na mjadala wa kitaifa ya ni wapi tunapo taka kwenda na wagombea hawa jajitokeza tasmi lakini tayari tuna taja taja majina.
Ndiyo shida ya magamba hiyo. Mwingine alijiandaa kwa miaka kumi kuwa rais lakini hakuwa na dira hakuwa na vision. Matokeo yake ndiyo tunayaona leo. Badala ya kujiuliza nani atakuwa rais tujiulize tunataka Tanzania ya aina gani na baada ya hapo ndipo tutafute ni nani anayefaa kutufikisha huko.
Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?
1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA
Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?
1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA
mkuu una maana.....membe ndio nani huyu anayemtetea Gaddafi? ataishia kuwa mbunge wa Mtama, tunahitaji rais mwenye akili za kiwendawazimu ili tujikwamue tulipo sio haya magamba.......
Hakuna hata mmoja kati ya hao atakayeukwaa Urais. Mark my words.
Benard Mende ndo nani tena?
Kwani kila post lazima uchangie?huna cha kufanya au unakula kwa migongo ya watu?Wengine wote wana hadhi ya kuwa raisi isipokuwa huyo mwizi wa mke wa mtu. Anahamasisha vurugu pia ni mdini.
Kwa nini tusijadili wkanza sifa za mtu anayepaswa kuwa rais wetu 2015 ili tuweze kupima ni nani mwenye sifa tunazozihitaji?Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?
1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA