Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,379
- 21,717
Wengine wote wana hadhi ya kuwa raisi isipokuwa huyo mwizi wa mke wa mtu. Anahamasisha vurugu pia ni mdini.
Ama kweli kulia alie tetere akilia bundi uchoro.. Mbona mnamuongelea sana huyo Josephine wake kama mke wa mtu, au ndio mlikua washenga wake??