Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

Huyo mkapa si kwasababu aliuza migodi yote kwa wazungu wa dini yenu ndio maana alifaa? Pia aliwauzia wakristo wenzake nyumba za umma, na kujiuzia mgodi wa kiwira! Huo ndio uongozi uliotukuka! Usiongee tu mtu wangu, fanya kwanza utafiati hata mdogo tu, angalia mafisadi wanaoitafuna nchi kama si wa dini yako, akina chenge, El, balali, wasira, mramba, Liu, nk.

kwan hata akiuza c mali ya watanganyka,nyie wazenji hamna chenu huku bara bana.
 
Vyama vya siasa vitatuletea wagombea, wapiga kura tutaamua.
Katiba ikibadilika kabla ya 2015 Mgombea binafsi ataruhusiwa.
Tutaamua kuvipigia vyama au mgombea binafsi aliyewekewa kauzibe kwenye vyama vya siasa, asiyeamini katika siasa za vyama.
 
samahani ww uliyeanzisha hii ni mjinga, kuna siku utaelimika ujue ulichoandika ni upuuzi. Ashukum si matusi.
 
niiiniiii... 2015-2025.. ni zamu yetu... nyie kaeni kando kwanza.. kwani kila awamu mnazoshika nchi huwa lazima iyumbe,, Siji sahau Mwinyi alivyotufanya.. Mwerevu na aelewe

Hakuna cha zamu wala baba Yake zamu....kwa sasa hakuna mgombea au mwanasiasa yeyote toka zanzibar ambaye anakubalika bara..kuwa union president....wanasiasa wengi wa Zanzibar ya Leo wamejikita kwenye siasa za zanzibar ...hakuna anayefanya juhudi ya dhati kujenga kuaminiwa na watanganyika hasa siku hii ambao imeonekana wazi wazanzibar kutetea maslahi Yao zaidi kuliko muungano

Hata Huyo Shansi ameingia mkumbo wa kuonekana Hana uchungu na tanganyika...alipewa nyumba akaikataa akalala hotel kwa gharama ya million 400.,,sidhani Kama nyumba aliyoikataa....haikuwa bora kuliko aliyokuwa akiishi Zanzibar Kama waziri kiongozi....kwani nnaifahamu nyumba ya waziri kiongozi Zanzibar ...Haina hadhi ya kufikia nyumba za mawaziri hapa....

Baada ya wazanzibar kumkataa Salim mwaka 2005......itabidi wasubiri sana kuweza kupata mtu Mwingine anayekubalika huku
 
Huyo mkapa si kwasababu aliuza migodi yote kwa wazungu wa dini yenu ndio maana alifaa? Pia aliwauzia wakristo wenzake nyumba za umma, na kujiuzia mgodi wa kiwira! Huo ndio uongozi uliotukuka! Usiongee tu mtu wangu, fanya kwanza utafiati hata mdogo tu, angalia mafisadi wanaoitafuna nchi kama si wa dini yako, akina chenge, El, balali, wasira, mramba, Liu, nk.

Hao waislamu unaosema wewe kuanzia Saudi kwenye mji mtakatifu wa Macca ambao kila kitu kimebinafsishwa kuwa wamarekani....nchi zote za kiislamu ukiondoa Iran zinaendeshwa na Hao wazungu.....nchi Kama Libya imeshambuliwa ...kwa Masada wa nchi za kiislamu mapandikizi ya wamarekani ..Kama SAudi na QUatar...
 
Kama hiyo ndo sera yenu ya uwekezaji hadi kwenye uraisi basi hatutaki. Nani kakwambia hakuna mtanganyika hata mmoja anaefaa kuwa raisi na inabidi tulete mwekezaji kutoka zanzibar?
 
Baada ya marekebisho ya katiba huko Zanzibar itakuwa ngumu sana kwa mtu toka Zanzibar kukubalika Tanganyika.
 
Baada ya marekebisho ya katiba huko Zanzibar itakuwa ngumu sana kwa mtu toka Zanzibar kukubalika Tanganyika.

Hapo umenena .....wakati wa kubadili katiba ya zanzibar....we knew there really Colours ....tunajuwa ndio hatuna mandate au uhalali wowote na katiba ya Zanzibar .....lakini tuligutuka zaidi pale walipokataa hata..kusikiliza ushauri wowote kutoka tanganyika ....pale katiba Yao ilipovunja vipengele wazi vya katiba ya muungano...na juhudi za aina hiyo zilipata majibu ya kebehi...hapo ndio Tukashtuka ...alah kumbe Hawa wanatuacha kwenye mataa!!!!!.......hakuna mwanasiasa wa enzi hizi wa Zanzibar aliyesimama hata kusimamia heshima ya katiba mama ya muungano".....sasa utawaamini vipi kuwapa wailinde?
 
CCM ni chama kinachoshadadia sana udini kwa hiyo mgombea ajaye wa CCM lazima awe Mkristo!! Walianza Mkristo akafuata Islam then Mkristo na sasa Mwislamu! Ugumu waliokuwa nao CCM sasa ni jinsi gani watampata mgombea Mkristo upande wa pili wa Muungano!!!! maana huko hakuna Wakristo ati!! au Nahodha kisha batizwa tayari ili awapiku kina Membe, Lowasa, Sitta, Magufuli, Mwandosya nk ?

CCM ni chama kikongwe kisichokurupuka!
 
Hujamuelewa Kimildizo, calling a spade a spade anasema watu wa dini fulani ni watendaji wazuri na dini nyengine wafujaji unless nimemuelewa vibaya.

Hujamuelewa vibaya; hicho ndicho alikkimaanisha.....mijinga kama hiyo ipo na lazima iendelee kuwepo kwani hapatatokea dunia ikawa na werevu pasi na wapumbavu!!! Lazima equation i-ballance!
 
Huyo mkapa si kwasababu aliuza migodi yote kwa wazungu wa dini yenu ndio maana alifaa? Pia aliwauzia wakristo wenzake nyumba za umma, na kujiuzia mgodi wa kiwira! Huo ndio uongozi uliotukuka! Usiongee tu mtu wangu, fanya kwanza utafiati hata mdogo tu, angalia mafisadi wanaoitafuna nchi kama si wa dini yako, akina chenge, El, balali, wasira, mramba, Liu, nk.
hii ni sera ya chama ndiyo maana hata aliyeko sasa hajafanya lolote la maana kurekebisha hata kesi zenyewe ni kiini macho tu there is no seriousness

Na hapa Nape anapiga kelele sana lakini hakuna kiongozi wa juu ndani ya chama/serikali anayemuunga mkono kwa maneno matupu au matendo " Tunahitaji rais mwenye maamuzi magumu kwa faida ya walio wengi "
 
Back
Top Bottom