Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

Binafsi nimechoka na viongozi wapiga domo majukwaani,maneno miingii ambao hawafanyi kwa vitendo yale wanayoyahubiri.Imefikia wakati sasa tupate Rais mwanasayansi,atuongoze kisayansi.Hivyo nakubaliana na wazo la Dr Shein kuchukua nchi
 
Hatuna uhuru wa fikra ...tumekuwa wa pofu wa akili kiasi hiki siamini kama tuko makini kuzungumzia pesonalities badalaya mfumo kama tatizo ni pesonalities basi CCM tunawatu wazuri tena ****** alisifiwa hata na baraza la maaskofu wa kadiriki kusemanichaguola mungu ...leo nani yupo tayari kusimama na kuzungumuza maneno ya namna hii....Tuwe makinimfumondio tatizo na sio personalities
 
ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
ni nani atakuwa rais 2015 kati ya hawa:?

1. Bernad membe
2. Edward rowasa
3. Pm pinda
4. Dr slaa
5. Prof. Lipumba


6. Kiravu
7. Mtikila
8. Dovutwa
 
Kiukwel Dr. Shein ni muadilifu nakumbuka speech moja aliitoa Pro.Lipumba kuwa kati ya viongozi wa CCM anamuona ni mtu makini kwani walishashirikiana katika majukumu fllani,ingawaje akasema siasa za CCM ndo zinamuharibu.....but ukimlinganisha na Dk. Slaa wote ni waadilifu ingawaje mmoja anaweza kufanya maamuzi magumu-Dk.Slaa.Hata hivyo CCM hawawez kumsimamisha mtu muadilifu katika nafasi ya uraisi kwan ni chama kinachoongozwa na mafisadi.
 
Hivi huyo mzee atamaliza hata huu mwaka kweli?


Kama mlikuwa hamjui haya ndio madhara ya kuachwa na mke akili uwa inaruka na kupata stress..na unakuja hapa JF kumaliza stress zako...ondoa mawazo yako majitaka!!!
 
Yah, wakuu kama tutaendelea kuwa na huyu huyu mkurugenzi wa nec aka Tanzanian Kivyuitu bac magamba wataendelea labda watz mchukue hatua zaidi ya kupiga kura!

Acha niweke dangerous/risky statement maana wengine tuko chuo cha manabii tunajifunza unabii na some of this practical exams are going to promote us to higher levels....It does not matter whether tuna tume huru ama si huru Rais ajaye hatoki nje ya Kaskazini na jina la mmoja tu kwa hao wa kaskazini ndo limetajwa naye si mwingine ni Dr. Slaa lakini ni kiri kuna uwezekano mkubwa wa mwingine ambaye hakutajwa kuukwaa...Tatizo la hawa wote wawili bado wanasita sita mioyoni mwao nao wanakatishwa tamaa na setting ya uchaguzi pamoja na uelewa wa raia. Acha niwaambie kuwa huo wasi wasi walionao ndiyo unaowatenga (Yaani umbali wa walipo na milango ya Ikulu ya Tanzania) na hizo nafasi walizoandaliwa; it will take them a step of faith kuanza kukanyaga maji ili bahari ijigawe nao watashangaa jinsi situation zitakavyo anza kurespond in favour of them tena bila kutumia nguvu.
 
Kwa mtazamo wangu, Dr. Shein amekuwa ni kiongozi wa CCM ambaye afungamani na vikundi ndani ya CCM, hana kashfa kama ilivyo kwa viongozi wengine wa CCM, PhD yake ni ya ukweli, Ni mchapa kazi kwani Zanzibar inaonekana sasa ilivyotulia na kuna mambo mengi ambayo yanaonekana kwamba kuna maendeleo yanafanyika. Kifupi huyu mzee ametulia ukilinganisha na wengine ndani ya CCM, hata wapinzani sijawasikia wakimuongelea ubaya au mabaya yake huyu mzee.

Je inawezekana CCM ikamsimamisha kama mgombea uraisi 2015?, Itakuwa vipi ikiwa ni Dr. Sla'a Vs Dr. Shein 2015. upinzani utakuwa mkubwa au yatakuwa ni yaleyale tu.

Good anaylsis on my side...is true I appreciate the works of Dr Shein he is good but,not good as Dr Slaa.......
 
Dr Gharib Bilal ni makini kuliko Dr Shein..Bilal ana misimamo mikali ikiwa na pamoja kupinga wazi wazi ufujaji wa mali ya umma uliofanywa na Karume, sema CCM wanamuogopa hata Znz ambako ana ufuasi na ushawishi mkubwa hawakutaka kumpa jamaa ni mzalendo wa ukweli. Shein amekaa kiuruma uruma sana bora liende kama JK hatufai
 
if there is know any kind of coraption the election will be fare and anyone can be a president
 
Huyo Dr sheni si kuna habari kuwa ni raisi wa nchi jirani ya zanzibar? sasa ataachaje uraisi wa nchi yake na kuchukua uraisi wa nchi ingine? from president to president.... allah's willing
 
Dr.Shein hataweza kuwa mgombea wa CCM kwa Urais wa TZ 2015 kwa kuwa itakuwa zamu ya Rais MKRISTU,mpende msipende.
 
Dr.Shein hataweza kuwa mgombea wa CCM kwa Urais wa TZ 2015 kwa kuwa itakuwa zamu ya Rais MKRISTU,mpende msipende.

Zamu ya mkristu ndiyo nini wewe,acha siasa uchwara.Kukiwa na muislam/mpagani capable asichaguliwe,kisa zamu ya mkristo?
 
Huyo Dr sheni si kuna habari kuwa ni raisi wa nchi jirani ya zanzibar? sasa ataachaje uraisi wa nchi yake na kuchukua uraisi wa nchi ingine? from president to president.... allah's willing
Mkuu, unachoshangaa nini? Huyu jamaa mbona kabla ya kuwa rais wa nchi jirani alikuwa makamu wa rais wa nchi nyingine? Nadhani katika sera za "changu chetu", "chako chako" linawezekana kabisa.
 
Back
Top Bottom