ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,950
- 6,981
kuandika makala na urais wapi na wapi!!basi dokta ricky naye awe kocha wa taifa stars kwani mpira anajua kuuchambua.
hahahahahahahahah-teheteheteheteeeeeeeeeee
kuandika makala na urais wapi na wapi!!basi dokta ricky naye awe kocha wa taifa stars kwani mpira anajua kuuchambua.
Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?
1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA
Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?
1. BERNAD MEMBE
Benard Mende ndo nani tena?
Benard Mende ndo nani tena?
Lowass ana nafasi kubwa. amejiandaa tangia mwaka 1995Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?
1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA
Hujajibu swali la muandishi, punguza jazba rejea kwenye mada husika.Wengine wote wana hadhi ya kuwa raisi isipokuwa huyo mwizi wa mke wa mtu. Anahamasisha vurugu pia ni mdini.
Tunataka katiba mpya ambayo itaweka kipengere cha nafasi ya urais iwe na marais watatu kwa pamoja ambao watatoka vyama vitatu tofauti na lazima wafanye kazi kwa pamoja. Ikitokea kutoelewana kwenye jambo fulani basi wenyewe watatu watapiga kura ya ndio kwa hivyo watakaokuwa pamoja wawili ndio watakaoshinda na utekelezaji utawafuata hao wawili. Itakuwa mfano wa kwanza Duniani. Sio kutegemea maamuzi ya mtu mmoja tu. Akikosea anatuangamiza mamilioni ya wa Tz. Kwa mtazamo huu tunawaweka pamoja E. Lowasa, Dr. Slaa na Prof. LipumbaNi swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?
1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA