Huyu ndiye mume wangu

Hapo unaishi na mwanamke mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera bibi, siku zote nlikua sijui kama babu Asprin ni mpemba mpaka leo ulivyosema jumamosi anachukua kikapu chake anaweka kwapani anaenda zake markiti na hasahau hata pilipili.

Maendeleo hayana chama
Baada ya hapo.... ndio hapo tunasemaga kila ua sio waridi. Kwenye kitanda wema wote hupotea...

Maandamano hayana mahaba
 
Babu Asprin hongera kwa kuunga mkono juhudi za bibi Sky Eclat za kubwia limbwata kwa hiari yako.
Bibi malizia hapo chini awe anakufulia nguo zako, kupiga deki pamoja na kuosha vyombo.

Maendeleo hayana chama
Unaanza kutoka nje ya mstari sasa. Mimi huyuhuyu?
 
Huyu sio mwanaume. Huwezi mpata zaidi ya kwenye ndoto.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…