Akitajwa Kinana unakuja juu kama umeshikwa kalio. sasa Rubish imetoka wapi hapa, ilhali jamaa kasema kuwa akipata idhini ya mods anabandika kila kitu hapa? tulieni kila kitu kiwekwe wazi! Vijana wa Lumumba bana!
Asije akatuwekea ushahidi wa kuchonga kama wa PITER Msigwa na Kagasheki, kwani alipoweka mada hii aliomba ruhusa ya MODS, aweke Mods wenyewe wapime kama wa kweli au aliongelea kwenye mihadarati, mtaa wa UFIPA.